Andrew Puma
Member
- Oct 7, 2026
- 80
- 129
Naombeni Ushauri Nipo Singida,Kama Mvua zitakuwa ni nyingi naweza kupanda zao gani nipo wilaya ya Ikungi
cannabis sativaNaombeni Ushauri Nipo Singida,Kama Mvua zitakuwa ni nyingi naweza kupanda zao gani nipo wilaya ya Ikungi
Singida na mvua kubwa haviwez kuwa kwenye sentensi moja.Naombeni Ushauri Nipo Singida,Kama Mvua zitakuwa ni nyingi naweza kupanda zao gani nipo wilaya ya Ikungi
Mtama
Singida na mvua kubwa haviwez kuwa kwenye sentensi moja.
Anamaanisha huko singida haiwezi kunyesha kubwa, huku tu mwambao kwa pwani mambo bado jua linaendeleaSijakuelewa vizuri au unamaanisha Singida uwezekano wa kuwa na mvua nyingi ni mdogo
Hakuna mvua za elnino ni utapeli tu wa wanasiasa kama utapeli wa kodi za nyumba
Naombeni Ushauri Nipo Singida,Kama Mvua zitakuwa ni nyingi naweza kupanda zao gani nipo wilaya ya Ikungi
Du...kodi za nyumba tena?!Hakuna mvua za elnino ni utapeli tu wa wanasiasa kama utapeli wa kodi za nyumba
cannabis sativa
Unapajua singida vizuri!?Singida na mvua kubwa haviwez kuwa kwenye sentensi moja.
Anamaanisha huko singida haiwezi kunyesha kubwa, huku tu mwambao kwa pwani mambo bado jua linaendelea
1. Mazao ya Chakula (Yasiyoogopa Maji Mengi)
• Mpunga: Hili ndilo zao linalofaidika zaidi na mvua kubwa. Kama shamba lako liko maeneo ya mabondeni mkoani Singida (ikiwemo baadhi ya maeneo ya Ikungi), huu ndio wakati mzuri wa kupanda mbegu bora za mpunga.
• Mahindi: Tofauti na misimu ya ukame ambapo mtama huvumilia zaidi, mvua nyingi zinakupa fursa ya kupanda mahindi ya kutosha kwa chakula na biashara. Hakikisha unachagua mbegu zinazostahimili magonjwa ya ukungu yanayosababishwa na unyevu mwingi.
• Viazi Vitamu na Mihogo: Yanastawi vizuri katika udongo wa tifutifu na mchanganyiko wa kichanga wa Ikungi. Ili kuzuia mizizi isioze, yapande juu ya matuta makubwa ili kuruhusu maji yatiririke kwa urahisi.
2. Mazao ya Biashara
• Korosho: Ustawi wa korosho wilayani Ikungi unaendelea vizuri sana. Ingawa mvua nyingi wakati wa maua inaweza kuleta changamoto ya magonjwa ya ukungu, mti ukishakomaa unastahimili mabadiliko haya ya hali ya hewa.
• Vitunguu: Zao hili linakubali sana Singida. Wakati wa mvua nyingi, chagua mashamba yaliyo kwenye miinuko (yasiyotuamisha maji) ili kuzuia vitunguu kuoza na ufaidike na soko zuri la kiangazi.
⚠️ Angalizo Maalum Kuhusu Alizeti
Kama mkulima wa Singida, ni muhimu kujua kuwa alizeti haipendi maji mengi kupita kiasi. Mvua kubwa sana inaweza kusababisha mbegu kuoza ardhini na kupunguza kiwango cha mafuta kwenye zao. Ukiamua kupanda alizeti msimu huu, hakikisha unaitwika kwenye maeneo ya miinuko yasiyotuama maji kabisa.
Credit: AI generated content
Sijawahi kufika Tanzania. Ila najua Singida na Dodoma ni majangwaIgida vizuri!?
Singida ni jangwa. Jangwani mvua huwa hakunaSijakuelewa vizuri au unamaanisha Singida uwezekano wa kuwa na mvua nyingi ni mdogo
Akili huna,hujafika sehemu na unajuaSijawahi kufika Tanzania. Ila najua Singida na Dodoma ni majangwa
Singida kuna mvua nyingi kuliko igunga na nzegaSingida ni jangwa. Jangwani mvua huwa hakuna