Uwezekano wa Magufuli kuongoza nchi kwa kipindi cha pili haupo

Mkuu asante kwa uchambuzi uliotukuka. Hapa ndipo ninapowasikitikia watu kama kina DAB. Upepo utakapobadilika sijui watakimbilia wapi??
 
Hakuna jipya, Lowassa hayumo humo wala hataki fitina zenu.
Kikwete nae umesahau jinsi kuna wajanja kuliko yeye.Nyerere alipomwambia Kikwete bado mchanga,na kama Nyerere asigetangulia mbele ya haki uraisi alikuwa ni wa Salim Ahmed Salim.
Sasa mchezo haupo kura za Wasukuma na Wanyamwezi zinatosha kabisa kumpitisha Magufuli bila Kampeini.
Membe ajipime mapema kupunguza hasara na bora arudishe majeshi kwa Magufuli ,ili kuongeza mshikamano kichama na kitaifa.
 
Ina maana ni wachafu sana,lakini wanadai wao ndio kipimo cha uongozi wa Tanzania.
Kama ndio hivyo mbona hawajafunguliwa mashtaka ya kuhujumu uchumi?
 
Wanaojua mzizi wa haya yanayoendelea ni wachache sana.

Hamjiulizi kwanini jiwe mpaka sasa kigugumizi? Hujuma anazofanyiwa ni reaction ya kitendo cha jiwe kujipeleka kwenye kambi ya Lowassa.
Na bado mpaka kieleweke mi mwenyewe lzm nichukue form wa kunizuia hajawahi kuwepo na wala hatotokea.
Nalog off
 
Wenye kuamini kuwa JPM atakuwa rais wa miaka mitano tu wajue kwamba wanaota ndoto ya saa sita mchana wa jua kali.
 
Duh! Wewe ndio umechemka kabisa kumleta Ngoyai kwenye equation. Mtu ambaye yuko 'ICU' anawezaje kweli kugombea Urais?
Labda hujaona clipp yake ya hivi karibuni... Ngoyai keshajichokea. The best for him now ni kujiandaa kiroho kwa safari inayofuata...

Naona wewe hujamsoma A.Ndambo between the lines…!
Kuna point hapo inafikirisha sana anaposema hii 2020 mpaka kufikia Uchaguzi Mkuu kuna WATU HATUTAKUWA NAO KIMWILI NA KIROHO MAGUFULI AKIWA NI MMOJA WAO…!
Hapa ndipo kwene hoja. You need to think like a GT!
 


Kuna watu sometimes mwachekesha sana.
 
Acha upuuzi magufuli yupo hadi 2025

Wewe ni muumba wake? Wazungu wana kamsemo: MAN PROPOSES AND GOD DISPOSES! Kama unaujua msemo kamwe usingeropoka kaulivofanya. Hakuna aijuae kesho yake bila kujali ni Rais,Amiri Jeshi Mkuu,Mwenyekiti CCM au Mwanachama awaye yote!
 
Wewe ni muumba wake? Wazungu wana kamsemo: MAN PROPOSES AND GOD OPPOSES! Kama unaujua msemo kamwe usingeropoka kaulivofanya. Hakuna aijuae kesho yake bila kujali ni Rais,Amiri Jeshi Mkuu,Mwenyekiti CCM au Mwanachama awaye yote!
Imekuuma lakini ndiyo ukweli mkuu. Pole
 
Ndoto za mchana JPM ataongoza mihula yote miwili bila shida yoyote

Aha,Kumbe ni ndoto za mchana(The Alinacha dreams)……!! Kuna ndoto za ucku watu huonyeshwa na Muumba wao mambo ambayo hayana budi kutokea baadae kwa mipango ya Mwenye enzi Mungu mwenyewe!
 
CCM kimekuwa kama chama pinzani kwasasa 'no frredom of expressioin ' ndege tunduni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…