Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
2020 ni Membe hutaki kajinyongeAcha upuuzi magufuli yupo hadi 2025
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2020 ni Membe hutaki kajinyongeAcha upuuzi magufuli yupo hadi 2025
Ndoto za mchana JPM ataongoza mihula yote miwili bila shida yoyote
Wanaojua mzizi wa haya yanayoendelea ni wachache sana.
Hamjiulizi kwanini jiwe mpaka sasa kigugumizi? Hujuma anazofanyiwa ni reaction ya kitendo cha jiwe kujipeleka kwenye kambi ya Lowassa.
Kunawatu wanafikra finyu eeh!! Kuwa amiri jeshi mkuu ni jambo zito mmno,pia kuwa mwenyekiti wa chama na hapohapo mteuzi wa mawaziri ma DC na RC etc. sio jambo dogo wakukutikisa inakuwa hamna.
Rais wetu atamaliza miaka yote kumi ila baada ya kustaafu sijui ataishije kwaraha??
Niliwahi kusema kuwa kile kitendo cha kumrudisha Lowassa chamani na kumrudisha Rostam Aziz nchini ni cha kuangalia kwa jicho la tatu!!!
Rais magufuli anatutosha,anatufaa tumwombee Mungu atawale hadi 2030
Jiandalie kamba haraka au badili id mapema maana baada ya uchaguzi sijui uso wako utauweka wapi2020 ni Membe hutaki kajinyonge
Jiandalie kamba haraka au badili id mapema maana baada ya uchaguzi sijui uso wako utauweka wapi
Huyo Quinine yuko katika sayari hii kweli? Kama yuko Tanzania at Kuna mlinzi wa usiku kwa kuwa anaota ndoto mchana.Pascal Mayalla piga watu wanamtakia kukosa urais baba yetu aliye "mbinguni"
Najua upo busy kwa waganga,sisi tupo busy ikulu kupokea vipande vyetu vya madini na fwedha zilizokwibwa na majizi!Kipindi chako cha kufa na njaa ndiyo kinawadia maana hutakuwa na wakumramba viatu
Kuna kausemi maeneo ya Pwani kuwa "joka la mdimu huwalinda watundao" Siwezi kukataa kuwa uwepo wa Bashe wizarani ni hatua ya kumfurahisha mzee wa mvi. Huyu kijana wake kumbuka.Huo ndiyo ukweli mkuu na sasa kumkaribisha Bashe watu hawajui tu
Utampa ww na familia yakoMkuu hizo ni ndoto za Alinacha za mchana kweupe rais ataongoza awamu ya 2 na kwa atakayofanya tutatammani tumuongeze mda tutampa miaka mingine 20 jmla iwe 20 rais gani ukiacha nyerere alifanya mambo makubwa kama haya?? Alofanya Magufuri??
Hilo halina ubishi mkuuKuna kausemi maeneo ya Pwani kuwa "joka la mdimu huwalinda watundao" Siwezi kukataa kuwa uwepo wa Bashe wizarani ni hatua ya kumfurahisha mzee wa mvi. Huyu kijana wake kumbuka.
Najua upo busy kwa waganga,sisi tupo busy ikulu kupokea vipande vyetu vya madini na fwedha zilizokwibwa na majizi!
Najua upo busy kwa waganga,sisi tupo busy ikulu kupokea vipande vyetu vya madini na fwedha zilizokwibwa na majizi!
Sio Tundu Lissu tena ?Wacha kurohoja wewe twende na Membe 2020
1. Lowasa hawezi kugombea urais mkuu. Afya haimruhusu.
2. Kundi la Lowasa kwa sasa liko pamoja na Rais Magufuri
3. Kundi la kikwete halina sifa wengi wao ni wachafu sana.
4. Upinzani kwa sasa hawana mtu powerful wa kupambana na Rais Magufuri
Mtifuano mkali utakuwa 2025 na siyo 2020. Kwani 2020 Rais Magufuri atashinda kwa kura nyingi zaidi ya alizopata 2015.