Uwezekano wa Magufuli kuongoza nchi kwa kipindi cha pili haupo

Na Anderson Ndambo

Umeupiga mwingi sana Bwana Ndambo, hii inaonyesha kuwa wewe ni political pundit πŸ™πŸ€ Nimeipenda hii paragraph niliyoinakili, hii inaonyesha kabisa kuwa wakati sisi "wananchi wa kawaida" tunaona kifo cha Magufuli kama "mipango ya Mungu", lakin kwa nyinyi wataalamu wa siasa mliliona hili mapema kama kuondoka kwa Magufuli ni lazima by any means necessary. Hasa ulipo sema : Nina quote

" JESHI LA NCHI HII, NA KWA VYOVYOTE VILE, JESHI LA NCHI HII KWASISI WACHAMBUZI WA MAMBO, HALIWEZI KUMRUHUSU MAGUFULI KUENDELEA NA AWAMU YA PILI, CHA KUZINGATIA TU WAKATI HUO WA (2020) KUNA UWEZEKANO BAADHI YA WATU HATUTOKUWA NAO, KIMWILI AU KISIASA, AKIWEMO MAGUFULI MWENYEWE".

Na imetokea kweli, kwamba hakuruhusiwa kuendelea kuongoza na wenye nchi. Timing tu ndo imebadilika,waliona kuwa bora waache uchaguzi upite kwanza kupunguza rabsha, halaf warekebishe waweke mtu wao mwingine. Kwa maana hiyo sasa kwa mujibu wa makala yako ni kwamba timu ya Kikwete imeishinda tena ile ya Lowassa. Na hii nafikiri ni kwakuwa Lowassa sasa afya yake haimruhusu kuendelea na mapambano. Angekuwa bado yupo vizuri, shuguli Ingekuwa pevu. Lakin credit pia iende kwa mkwere anajua kuzichanga karata zake vizuri, maana anakijua chama kindakindaki. Lakin kwa mimi naomba niseme kuondolewa kwa jiwe is a good riddance. Alikuwa hana mission wala vision. Na alitaka kuichange system kwa muda mfupi sana, wakati wenzake wapo kwenye game muda mrefu na wanaijua nchi nje ndani. Ukweli ni kwamba nchi ilikuwa inaenda shimoni. Watu wangekuwa masikini wa kutupwa, tungerudi nyuma kisiasa miaka 50. Kweli hii nchi ina wenyewe πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Sina usemi mkuu.
Mipango ya Mungu siyo sawa na yawanadamu mkuu.
Hata wewe na Mimi twaweza kufa kwa sekunde mbili tu zijazo

Basi tukawe wenye utu, wanyenyekevu, wasikivu na wenye huruma.

Hii ya kujiita mawe, kuwa hatatushiki wala kutikiswa hailipi!

Kwamba kina Ben, Mawazo, Azory, Lissu, wa kwenye viroba nk hayakuwa mapenzi ya Mungu bali ya binadamu mmoja, basi ndiyo maana leo tunakumbushana.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Duh! Wewe ndio umechemka kabisa kumleta Ngoyai kwenye equation. Mtu ambaye yuko 'ICU' anawezaje kweli kugombea Urais?
Labda hujaona clipp yake ya hivi karibuni... Ngoyai keshajichokea. The best for him now ni kujiandaa kiroho kwa safari inayofuata...
Nakusalimu kwa jina la jamhuri ya muungano
 
Hahaa all those you have mentioned,were eliminated by nature.
Their fates were meant to be.katika maisha yao amini amini nakuambia walizopitia ilikuwa sehemu ya ratiba katika maisha yao waliopangiwa kuwepo duniani .
Kama ingekuwa mipango ya mwanadamu wasipitia hayo.
Maisha ya Mwanadamu ni fumbo kubwa Sana ambalo kila mtu hajui hatima yake.ila kwa imani tunapanga maisha yetu ya kesho with no any guarantee that we will see tommorow.
 

Hahaahaaa. Acha hizo wewe. Mtumishi wa Mungu alitamka kuwa pana vifo aina nne:

1. Uzee (wa miaka ma Mia wako hapa)
2. Vya kusababishwa na kusababishiwa (wa viroba wako hapa)
3. Mapenzi ya Mungu (vya kina Nyerere viko hapa).
4. Vya kijinga (kudharau corona vipo hapa)

Unataka clip mtumishi?
 
Ulitabiri vizuri lakini kutoendelea kutawala kwa Magufuli si kwa maana ya matukio ya kisiasa bali kwa karma.

Wat goes around comes around.
Cha kushangaza wananchi wengi wameyapokea mabadiliko kwa bashasha.
 
"Naendelea kutoa ushauri kwa vijana wa ccm, kujaribu kuchagua upande sahihi mapema na sio kukesha kupyauka, leo unamtukana huyu, kesho unamtukana yule, mwisho unajikuta unatakiwa kumsifia mtu uliemtukana jana, utasimamaje? Vijana muwe wenye hekima sana, na pengine mjitaidi kunyamaza kimya, unaedhani ana nguvu leo, kesho unaweza kumkuta ni laini kama siagi......kuni zinawaka moto sana...."

vijana wa CCM kuna ujumbe wenu hapa. kama utabiri umekamilika, basi chukueni huo ushauri utawasaidia na hasa MATAGA
 

Heshima kwako mkuu. Taabu ni kuwa mamburula huwa akili kubwa hawazielewi hadi yawakute!
 
Magu amekuwa Phased out State House kwa sababu ya kuwa Encircled na Washamba, Wewe unatoa watu Jalalani na kwa Wala Vumbi la Chaki unawaleta waje wakuzunguke kama inner circle yako hio haifai, mana hao academicians mostly ni theoretical based, Na izo PhD pamoja na Mzee kuwa na Hazina still wamezidiwa ujanja, Alivyotoka Kijazi ambae yeye yupo vizuri tukajua mfalme nae anafikiwa sasa
With all huwezi ku lead kwa udictator kama huna hata Millitary background
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…