Uwezekano wa Magufuli kuongoza nchi kwa kipindi cha pili haupo

Uzi huu hauna maana yoyote , MAGUFULI alichaguliwa Kwa kishindo , CCM walitoa kipigo cha kufa mtu Kwa upinzani ,kipigo cha mbwa mwizi
 
Huyu "mchambuzi wa kisiasa" mpaka anatoa mawazo haya, alikuwa anajua kinachoendelea chini kwa chini. Deep state ilikuwa imefanya maamuzi yake na ilikuwa imemaliza. Ilikuwa bado utekelezaji tu
 
Uzi huu hauna maana yoyote , MAGUFULI alichaguliwa Kwa kishindo , CCM walitoa kipigo cha kufa mtu Kwa upinzani ,kipigo cha mbwa mwizi
Waislam tunasema :

"... laa yazidu dhwalimina ila khasara ..."

Tafsiri: ...hatozidishiwa mdhulumati ila atapata hasara ...

Hiyo ndio hasara ya kudhulumu uchaguzi wa kishindo akadhani amepata faida kumbe hasara ya umauti ilikua inamsubiri mbele yake

Masikini MAGUFULI pengine angetenda haki akakubali matokeo halali labda angebaki hai kushuhudia utawala wa CDM pole yake

Kibaya zaidi sio hasara ya kifo tu bali anahasara ya adhabu ya umauti wa milele kutoka na matendo yake ya kidhalimu, kuua watu, kuteka watu, kusingizia watu kesi yaani huko aliko anakula moto mwanzo mwisho Shubaamiti zake !!! [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huyu "mchambuzi wa kisiasa" mpaka anatoa mawazo haya, alikuwa anajua kinachoendelea chini kwa chini. Deep state ilikuwa imefanya maamuzi yake na ilikuwa imemaliza. Ilikuwa bado utekelezaji tu
Hiki kifo utadhani kuna watu walikiona, kuna yule jamaa wa humu aliandika comment yake mwaka 2020 kwamba "mwakani Taifa litakua na msiba" bado huwa namtafakari sana. Na pia akasema nchi itaongozwa na mwanamke
 
...... Anakula moto mwanzo mwenga [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Shubaamiit zake [emoji23][emoji23]
 
Mtaandika utumbo weeeeeeee, kisha mtaanza kuutoa huooo utumbo weeeeee, mkichoka kalaleni.
WATANZANIA TUMESHASEMA NA KUAMUA JPM NI MPAKA 2035.
Na mnavyokomalia hakai term ya pili ndio mnatupa mzuka na sisi wa TZ tukomaë nae mpaka term ya nne.

Mkuu wanakuita huku!
 
Hiki kifo utadhani kuna watu walikiona, kuna yule jamaa wa humu aliandika comment yake mwaka 2020 kwamba "mwakani Taifa litakua na msiba" bado huwa namtafakari sana. Na pia akasema nchi itaongozwa na mwanamke
Weweee!! Wacha bana!!
 
Hiki kifo utadhani kuna watu walikiona, kuna yule jamaa wa humu aliandika comment yake mwaka 2020 kwamba "mwakani Taifa litakua na msiba" bado huwa namtafakari sana. Na pia akasema nchi itaongozwa na mwanamke
Naomba link au unitag kqenye huo uzi niusome mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…