Uwezekano wa Magufuli kuongoza nchi kwa kipindi cha pili haupo

Uwezekano wa Magufuli kuongoza nchi kwa kipindi cha pili haupo

Duuh! kuongoza nchi ni kazi nzito sana.
 
Duh! Wewe ndio umechemka kabisa kumleta Ngoyai kwenye equation. Mtu ambaye yuko 'ICU' anawezaje kweli kugombea Urais?

Labda hujaona clipp yake ya hivi karibuni. Ngoyai keshajichokea. The best for him now ni kujiandaa kiroho kwa safari inayofuata.
Vile hujaonekana humu tokea disemba mwaka juzi, inaonekana umeshatangulia ukamwacha kama wenzako wengine wengi tu waliokuwa wakimdhihaki.
 
Back
Top Bottom