johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unaota ukiwa wapi?Mkuu
Mbowe YUPO updated na backdated!
Anajua fika upepo wa 2026 hautakiacha Chadema kama chama kikuu cha UPINZANI bungeni!
Anajua kuna chama kimeandaliwa kuiua Chadema na ccm na kinasubiria usajili !
Anajua fika 2026 sio chadema wala ccm watakuwa na mvuto bali chama kipya kitakacho zaliwa!
Ndio màana jana amekataza makamanda kutukana viongozi wa upinzani kea chama chake akitoa angalizo!!
Wenye NCHI watakuwa wameshammpongeza kea kazi kubwa aliyofanya Hadi Sasa na kumwambia muda wa chama kipya kingine kushika nchi umefika na sio chadema wala CCM na Mbowe anajua!!!
Ameshaaambiwa Mwisho wa CHADEMA na CCM kuwa vyama vikubwa hasimu nchini umekwisha Sasa!!!
Tujiandae na Tanzania mpya isiyo na Chadema na CCM kama vyama vya SIASA vikubwa NCHINI!!
TUSUBIRI katiba ipatikane 2026 Ndio tufanye uchaguzi mkuu wa katiba Mpya!
Mbowe atastaafu 2023!
Asante!!
Kama unadhani mwamba kuja na vugu vugu la kudai katiba mpya Hadi akawekwa lupango ni utashi wake Binafsi unajidanganya!hiyo ni move ya Wenye NCHI!!Unaota ukiwa wapi?
Kama unadhani mwamba kuja na vugu vugu la kudai katiba mpya Hadi akawekwa lupango ni utashi wake Binafsi unajidanganya!hiyo ni move ya Wenye NCHI!!
TUSUBIRI!
MkuuHao watanzania wenyewe wa kuwaletea vyama vya mchongo wako wapi? Sioni watanzania wakiendelea kujitokeza kupiga kura kwa ukhanithi unaoendelea kwenye box la kura. Labda wapiga kura mtawapata washamba wachache.
Bora asitaafu tu ,tapeli mkubwa
Eti Rais ajaye. Wewe ni zito nini au miguu chemba?. Kuna watu kama watu kichwani mna pumbaMkuu
Mbowe YUPO updated na backdated!
Anajua fika upepo wa 2026 hautakiacha Chadema kama chama kikuu cha UPINZANI bungeni!
Anajua kuna chama kimeandaliwa kuiua Chadema na ccm na kinasubiria usajili !
Anajua fika 2026 sio chadema wala ccm watakuwa na mvuto bali chama kipya kitakacho zaliwa!
Ndio màana jana amekataza makamanda kutukana viongozi wa upinzani kea chama chake akitoa angalizo!!
Wenye NCHI watakuwa wameshammpongeza kea kazi kubwa aliyofanya Hadi Sasa na kumwambia muda wa chama kipya kingine kushika nchi umefika na sio chadema wala CCM na Mbowe anajua!!!
Ameshaaambiwa Mwisho wa CHADEMA na CCM kuwa vyama vikubwa hasimu nchini umekwisha Sasa!!!
Tujiandae na Tanzania mpya isiyo na Chadema na CCM kama vyama vya SIASA vikubwa NCHINI!!
TUSUBIRI katiba ipatikane 2026 Ndio tufanye uchaguzi mkuu wa katiba Mpya!
Mbowe atastaafu 2023!
Asante!!
PoleEti Rais ajaye. Wewe ni zito nini au miguu chemba?. Kuna watu kama watu kichwani mna pumba
Mkuu
Katiba Mpya itapatikana
Na Hayo yote yataisha
Hakuna uchaguzi Mwingine tena kabla ya katiba Mpya kupatikana!!
2020 ndio kilele cha uchaguzi KWA katiba ya zamani!!!
Wanachama wa chama kipya na viongozi wao ni Hawa Hawa wa kutoka CCM na CHADEMA?Mkuu