Uwezekano wa mwanaume kuambukizwa Candida

Uwezekano wa mwanaume kuambukizwa Candida

dudupori

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
1,795
Reaction score
1,914
Wakuu heshima kwenu, nimekua nikisikia mara kwa mara kuhusu hili tatizo la Candida kwa wanawake.

Swali langu ni je, kuna uwezekano wa mwanaume kupata uambukizo wowote iwapo utakutana kimwili na mwanamke mwenye hilo tatizo?
 
Wakuu hakuna mwenye jibu au ushauri juu ya hili?
 
uwezekano upo tu,,,,aina fulani ya fungus kama sikosei za sehemu ya siri
 
kwa uelewa wangu mwanaume anaweza kupata hiyo candida cha msingi ni kutibu kwanza ndo mkutane kimwili
 
Back
Top Bottom