dudupori JF-Expert Member Joined Jan 6, 2012 Posts 1,795 Reaction score 1,914 Oct 19, 2015 #1 Wakuu heshima kwenu, nimekua nikisikia mara kwa mara kuhusu hili tatizo la Candida kwa wanawake. Swali langu ni je, kuna uwezekano wa mwanaume kupata uambukizo wowote iwapo utakutana kimwili na mwanamke mwenye hilo tatizo?
Wakuu heshima kwenu, nimekua nikisikia mara kwa mara kuhusu hili tatizo la Candida kwa wanawake. Swali langu ni je, kuna uwezekano wa mwanaume kupata uambukizo wowote iwapo utakutana kimwili na mwanamke mwenye hilo tatizo?
dudupori JF-Expert Member Joined Jan 6, 2012 Posts 1,795 Reaction score 1,914 Oct 23, 2015 Thread starter #2 Wakuu hakuna mwenye jibu au ushauri juu ya hili?
G'taxi JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 6,625 Reaction score 8,639 Oct 23, 2015 #3 dudupori said: Wakuu hakuna mwenye jibu au ushauri juu ya hili? Click to expand... Kwanza Candida ni nini hebu ielezee inakuaje?
dudupori said: Wakuu hakuna mwenye jibu au ushauri juu ya hili? Click to expand... Kwanza Candida ni nini hebu ielezee inakuaje?
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,205 Reaction score 33,287 Oct 23, 2015 #4 uwezekano upo tu,,,,aina fulani ya fungus kama sikosei za sehemu ya siri
dudupori JF-Expert Member Joined Jan 6, 2012 Posts 1,795 Reaction score 1,914 Oct 23, 2015 Thread starter #5 G'taxi said: Kwanza Candida ni nini hebu ielezee inakuaje? Click to expand... Ndugu hiyo ni aina ya fungus huwapata sana wanawake wengi.
G'taxi said: Kwanza Candida ni nini hebu ielezee inakuaje? Click to expand... Ndugu hiyo ni aina ya fungus huwapata sana wanawake wengi.
Sirdirashy JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 3,243 Reaction score 3,047 Oct 23, 2015 #6 Ndo nini hiyo
iron woman Senior Member Joined Apr 22, 2013 Posts 147 Reaction score 19 Oct 24, 2015 #7 kwa uelewa wangu mwanaume anaweza kupata hiyo candida cha msingi ni kutibu kwanza ndo mkutane kimwili
kwa uelewa wangu mwanaume anaweza kupata hiyo candida cha msingi ni kutibu kwanza ndo mkutane kimwili