This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Salaam wakuu
Nimesoma sehemu tofauti humuhumu jukwaani kuwa sisi binadamu uwezo wetu wa kiakili tunarithi kutoka kwa mama yaani maana yake km mama yako ana uwezo mdogo basi hata watoto atakaowazaa watakuwa hivyohivyo. Sasa nimekuwa na maswali kadhaa kuhusu hil:
Mosi, kwanza hili lina ukweli kiasi gani kisayansi ?
Pili, km lina ukweli urithi huu ni wa 100%au ni kwa kiasi fulani tu au ni kwa kiasi kikubwa. Na ni kwanini? Kisayansi.
Tatu, ili mimba iweze kutungwa ni lazima yai la mwanamke liungane na mbegu ya uzazi kutoka kwa mwanamme, sasa ikiwa ili mimba itungwe lazima kuwepo na muungano wa mwanamke (yai ) na mwanamme (mbegu) iweje mtoto aweze kurithi toka kwa baba vitu km rangi ya ngozi, kimo yaani urefu au ufupi, sura nk lkn si akili,uwezo wa kiakili unatoka kwa mama.
Nne, Kama ndivyo ni ipi nafasi ya mazingira aliyokulia mtoto au malezi aliyopewa ktk kumjengea mtoto afya njema ya akili!? (Naomba mchango wako uwe wa kisayansi tu, mambo ya dini km yapo siyahitaji )