Uwezo wa akili wa mtoto /binadamu

Uwezo wa akili wa mtoto /binadamu

This is...

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
5,050
Reaction score
5,204
Salaam wakuu
Nimesoma sehemu tofauti humuhumu jukwaani kuwa sisi binadamu uwezo wetu wa kiakili tunarithi kutoka kwa mama yaani maana yake km mama yako ana uwezo mdogo basi hata watoto atakaowazaa watakuwa hivyohivyo. Sasa nimekuwa na maswali kadhaa kuhusu hil:
Mosi, kwanza hili lina ukweli kiasi gani kisayansi ?
Pili, km lina ukweli urithi huu ni wa 100%au ni kwa kiasi fulani tu au ni kwa kiasi kikubwa. Na ni kwanini? Kisayansi.
Tatu, ili mimba iweze kutungwa ni lazima yai la mwanamke liungane na mbegu ya uzazi kutoka kwa mwanamme, sasa ikiwa ili mimba itungwe lazima kuwepo na muungano wa mwanamke (yai ) na mwanamme (mbegu) iweje mtoto aweze kurithi toka kwa baba vitu km rangi ya ngozi, kimo yaani urefu au ufupi, sura nk lkn si akili,uwezo wa kiakili unatoka kwa mama.
Nne, Kama ndivyo ni ipi nafasi ya mazingira aliyokulia mtoto au malezi aliyopewa ktk kumjengea mtoto afya njema ya akili!? (Naomba mchango wako uwe wa kisayansi tu, mambo ya dini km yapo siyahitaji )
 
Pili, km lina ukweli urithi huu ni wa 100%au ni kwa kiasi fulani tu au ni kwa kiasi kikubwa.
Tatu, ili mimba iweze kutungwa ni lazima yai la mwanamke liungane na mbegu ya uzazi kutoka kwa mwanamme, sasa ikiwa ili mimba itungwe lazima kuwepo na muungano wa mwanamke (yai ) na mwanamme (mbegu) iweje mtoto aweze kurithi toka kwa baba vitu km rangi ya ngozi, kimo yaani urefu au ufupi, sura nk lkn si akili,uwezo wa kiakili unatoka kwa mama.
Nne, Kama ndivyo ni ipi nafasi ya mazingira aliyokulia mtoto au malezi aliyopewa ktk kumjengea mtoto afya njema ya akili!? (Naomba mchango wako uwe wa kisayansi tu, mambo ya dini km yapo siyahitaji )

Katika biolojia tunasema kuwa mama ni carrier wa genetic traits nying zaidi kuliko mwanaume..

X chromosomes za mwanamke zinabeba gene control factor nyingi zaidi kiliko X na Y chromosomes za mwanaume..

kwanza chromosomes
zinakaaa katika pair..

manake nini...,,,,

Mwanamke ana jumla wa chromosomes 46 ambazo kati ya hizo, 23 kabeba traits( tabia) za bana yake na 23 zingine hubeba traits( tabia) za mama yake .

Ila sasa kati ya hizo 23 za baba ,22 zimebeba mfumo mzima wa jinsi mwili wa baba ulivyo ( Phenotype) na ile moja imebeba kizazi( sex) baba..
na hizo 23 zingine zilizobeba sifa za mama ambapo 22 kati ya hizo zimebeba mfumo mzima wa mama na ile 1 inayobaki imebeba kizazi( sex ya mama yake)..
kwa hiyo mwanamke anabeba sex zote za wazazi wake kwenye ile jumla ya chromosomes 46..

Ukija kwa upande wa mwanaume ,naye ana chromosomes 46 ,ambapo 23 ni baba na 23 zingine ni mama ,hivyo hivyo kama ilivyo kwa mwanamke kuwa 22 na 22 zingine zimebeba sifa za baba na mama na ile 1 na 1 nyingine zinabeba sifa za sex za wazazi wote..

utofauti unakuja kwanini mwanamke anabeba sifa nyingi zaidi ni chromosomal morphology ambapo tunaona kuwa X ya mama ina ujazo( space kubwa ya kubeba genes( jeni) zinazohusika na utengenezaji wa kila kitu) tofauti na Y ya baba ambayo ina space( nafasi ) ndogo kubeba gene control factor..kwa kifupi Y ya baba ni fupi kuliko X ya mama..
PhotoGrid_1537007651357.jpg

kwa hiyo utofauti huo ndo unaoipa nafasi kubwa X chromosome ya mama kuwa na traits nyingi zaidi kuliko Y chromosomes ya baba..
kwa hiyo mama ana jumla ya pair ya XX chromosomes ambapo baba anakamilisha pair ya XY chromosomes..

Tukija kwenye swala la kama mama ni mbumbumbu ( uwezo mdogo wa akili) atazaa watoto wote wabovu??

Sio kweli..ila chance ni 25% ,manake nini kama mama atazaa watoto 4 basi mmoja kati ya hao atakuwa na uwezo kama wa mamake..ila wale 3 watakuwa na uwezo mwingine...

unajua ni kwanini......

Kumbuka tulisema kuwa during fertilization mama anachangia 23 chromosomes ambapo 22 zitakuwa zimebeba sifa za wazazi wake na kizazi chao cha nyuma ( 75% from their familiy na 25% from his current physical appearance yani phenotypic appearance as well as genotypic appearance)..

kwa hiyo mama akizaaa watoto wabatoka wana chance ya kuinherit 75% sifa za wazazi wa mama yake, au 25% watoto watakuwa na sifa za mama yao..

Kama wazazi wake( mama ) walikuwa mbumbumbu kuna uwezekana wa 75% ya idadi ya watoto kuwa na sifa za babu na bibi yao...

lakini wataalamu wa mambo ya genomatiki( genetics) wanashauri kuwa kabla hujampa mimba mwanamke ulizia kwanza ( trace back) intelectual awareness ya wazazi au familia ya mwanamke ..japo kuna uwezekano wa kuibadilisha genetics hafifu ya mama kama unataka kuimpruvu watoto wake..

kuna factor zinazobadilisha mfumo wa intelectual ya mtoto ,moja wapo ya factor hizo ni lishe bora..

Unaweza ukawa unamsuply mama virutubisho muhimu ambavyo zina madini au protein zinazohusika na intelligence na kumfanya mtoto kukua tumboni akiwa na ubongo( akili nzuri na imara) katika kipindi chake cha ukuaji tumboni( Embryology)..

Hivyo ndivyo wanavyoandaliwa watoto wa wenzetu huko ughaibuni regardless uwezo wa mama kiakili..
 
lifecoded you nailed it all, so where should i put my flowers in the punnet square?
pink tall flowers (TT) was crossed with yellow short flowers (tt)..
Anyway,
Good analysis.
 
Katika biolojia tunasema kuwa mama ni carrier wa genetic traits nying zaidi kuliko mwanaume..

X chromosomes za mwanamke zinabeba gene control factor nyingi zaidi kiliko X na Y chromosomes za mwanaume..

kwanza chromosomsa zinakaaa katika pair..

manake nini...

Mwanamke ana jumla wa chromosomes 46 ambazo kati ya hizo, 23 kabeba traits( tabia) za bana yake na 23 zingine hubeba traits( tabia) za mama yake .

Ila sasa kati ya hizo 23 za baba ,22 zimebeba mfumo mzima wa jinsi mwili wa baba ulivyo ( Phenotype) na ile moja imebeba kizazi( sex) baba..
na hizo 23 zingine zilizobeba sifa za mama ambapo 22 kati ya hizo zimebeba mfumo mzima wa mama na ile 1 inayobaki imebeba kizazi( sex ya mama yake)..
kwa hiyo mwanamke anabeba sex zote za wazazi wake kwenye ile jumla ya chromosomes 46..

Ukija kwa upande wa mwanaume ,naye ana chromosomes 46 ,ambapo 23 ni baba na 23 zingine ni mama ,hivyo hivyo kama ilivyo kwa mwanamke kuwa 22 na 22 zingine zimebeba sifa za baba na mama na ile 1 na 1 nyingine zinabeba sifa za sex za wazazi wote..

utofauti unakuja kwanini mwanamke anabeba sifa nyingi zaidi ni chromosomal morphoology ambapo tunaona kuwa X ya mama ina ujazo( space kubwa ya kubeba genes( jeni) zinazohusika na utengenezaji wa kila kitu) tofauti na Y ya baba ambayo ina space( nafasi ) ndogo kubeba gene control factor..kwa kifupi Y ya baba ni fupi kuliko X ya mama..View attachment 866947

kwa hiyo utofauti huo ndo unaoipa nafasi kubwa X chromosome ya mama kuwa na traits nyingi zaidi kuliko Y chromosomes ya baba..
kwa hiyo mama ana jumla ya pair ya XX chromosomes ambapo baba anakamilisha pair ya XY chromosomes..

Tukija kwenye swala la kama mama ni mbumbumbu ( uwezo mdogo wa akili) atazaa watoto wote wabovu??

Sio kweli..ila chance ni 25% ,manake nini kama mama atazaa watoto 4 basi mmoja kati ya hao atakuwa na uwezo kama wa mamake..ila wale 3 watakuwa na uwezo mwingine...

unajua ni kwanini..

Kumbuka tulisema kuwa during fertilization mama anachangia 23 chromosomes ambapo 22 zitakuwa zimebeba sifa za wazazi wake na kizazi chao cha nyuma ( 75% from their familiy na 25% from his current physical appearance yani phenotypic appearance as well as genotypic appearance)..

kwa hiyo mama akizaaa watoto wabatoka wana chance ya kuinherit 75% sifa za wazazi wa mama yake, au 25% watoto watakuwa na sifa za mama yao..

Kama wazazi wake( mama ) walikuwa mbumbumbu kuna uwezekana wa 75% ya idadi ya watoto kuwa na sifa za babu na bibi yao...

lakini wataalamu wa mambo ya genomatiki( genetics) wanashauri kuwa kabla hujampa mimba mwanamke ulizia kwanza ( trace back) intelectual awareness ya wazazi au familia ya mwanamke ..japo kuna uwezekano wa kuibadilisha genetics hafifu ya mama kama unataka kuimpruvu watoto wake..

kuna factor zinazobadilisha mfumo wa intellectual ya mtoto ,moja wapo ya factor hizo ni lishe bora..

Unaweza ukawa unamsuply mama virutubisho muhimu ambavyo zina madini au protein zinazohusika na intelligence na kumfanya mtoto kukua tumboni akiwa na ubongo( akili nzuri na imara) katika kipindi chake cha ukuaji tumboni( Embryology)..

Hivyo ndivyo wanavyoandaliwa watoto wa wenzetu huko ughaibuni regardless uwezo wa mama kiakili..
@lifecoded nikifika ktk mchango wako huwa natulia tulii nipate madini hata km nikiwa sehemu yenye kelele inabidi nihame kwanza....kwa kweli umebarikiwa....au we itakuwa ni wale aliens
 
🤝🤝🤝[emoji106][emoji106]✍️
 
Nimesoma yote nikailewa vizuri!
Asante kutupa madini yakuzidi
 
Mkuu uko vzr sana.
 
utofauti unakuja kwanini mwanamke anabeba sifa nyingi zaidi ni chromosomal morphology ambapo tunaona kuwa X ya mama ina ujazo( space kubwa ya kubeba genes( jeni) zinazohusika na utengenezaji wa kila kitu) tofauti na Y ya baba ambayo ina space( nafasi ) ndogo kubeba gene control factor..kwa kifupi Y ya baba ni fupi kuliko X ya mama..View attachment 866947

kwa hiyo utofauti huo ndo unaoipa nafasi kubwa X chromosome ya mama kuwa na traits nyingi zaidi kuliko Y chromosomes ya baba..
kwa hiyo mama ana jumla ya pair ya XX chromosomes ambapo baba anakamilisha pair ya XY chromosomes..

Tukija kwenye swala la kama mama ni mbumbumbu ( uwezo mdogo wa akili) atazaa watoto wote wabovu??

Sio kweli..ila chance ni 25% ,manake nini kama mama atazaa watoto 4 basi mmoja kati ya hao atakuwa na uwezo kama wa mamake..ila wale 3 watakuwa na uwezo mwingine...

unajua ni kwanini......

Kumbuka tulisema kuwa during fertilization mama anachangia 23 chromosomes ambapo 22 zitakuwa zimebeba sifa za wazazi wake na kizazi chao cha nyuma ( 75% from their familiy na 25% from his current physical appearance yani phenotypic appearance as well as genotypic appearance)..

kwa hiyo mama akizaaa watoto wabatoka wana chance ya kuinherit 75% sifa za wazazi wa mama yake, au 25% watoto watakuwa na sifa za mama yao..

Kama wazazi wake( mama ) walikuwa mbumbumbu kuna uwezekana wa 75% ya idadi ya watoto kuwa na sifa za babu na bibi yao...

lakini wataalamu wa mambo ya genomatiki( genetics) wanashauri kuwa kabla hujampa mimba mwanamke ulizia kwanza ( trace back) intelectual awareness ya wazazi au familia ya mwanamke ..japo kuna uwezekano wa kuibadilisha genetics hafifu ya mama kama unataka kuimpruvu watoto wake..

kuna factor zinazobadilisha mfumo wa intelectual ya mtoto ,moja wapo ya factor hizo ni lishe bora..

Unaweza ukawa unamsuply mama virutubisho muhimu ambavyo zina madini au protein zinazohusika na intelligence na kumfanya mtoto kukua tumboni akiwa na ubongo( akili nzuri na imara) katika kipindi chake cha ukuaji tumboni( Embryology)..

Hivyo ndivyo wanavyoandaliwa watoto wa wenzetu huko ughaibuni regardless uwezo wa mama kiakili..

JF kuna watu vichwa bhn ,, uezi kutana na mtu kama huyu FB uko ..Uko vzur sana mkuu
hongeraa[emoji5]
 
Salaam wakuu
Nimesoma sehemu tofauti humuhumu jukwaani kuwa sisi binadamu uwezo wetu wa kiakili tunarithi kutoka kwa mama yaani maana yake km mama yako ana uwezo mdogo basi hata watoto atakaowazaa watakuwa hivyohivyo. Sasa nimekuwa na maswali kadhaa kuhusu hil:
Mosi, kwanza hili lina ukweli kiasi gani kisayansi ?
Pili, km lina ukweli urithi huu ni wa 100%au ni kwa kiasi fulani tu au ni kwa kiasi kikubwa. Na ni kwanini? Kisayansi.
Tatu, ili mimba iweze kutungwa ni lazima yai la mwanamke liungane na mbegu ya uzazi kutoka kwa mwanamme, sasa ikiwa ili mimba itungwe lazima kuwepo na muungano wa mwanamke (yai ) na mwanamme (mbegu) iweje mtoto aweze kurithi toka kwa baba vitu km rangi ya ngozi, kimo yaani urefu au ufupi, sura nk lkn si akili,uwezo wa kiakili unatoka kwa mama.
Nne, Kama ndivyo ni ipi nafasi ya mazingira aliyokulia mtoto au malezi aliyopewa ktk kumjengea mtoto afya njema ya akili!? (Naomba mchango wako uwe wa kisayansi tu, mambo ya dini km yapo siyahitaji )

Mmeona nondo hizi.

Sasa wewe endelea kufyatua katoto kamoja sijui wawili alafu uone kama hawajahamia kwa mama yao.
 
Salaam wakuu
Nimesoma sehemu tofauti humuhumu jukwaani kuwa sisi binadamu uwezo wetu wa kiakili tunarithi kutoka kwa mama yaani maana yake km mama yako ana uwezo mdogo basi hata watoto atakaowazaa watakuwa hivyohivyo. Sasa nimekuwa na maswali kadhaa kuhusu hil:
Mosi, kwanza hili lina ukweli kiasi gani kisayansi ?
Pili, km lina ukweli urithi huu ni wa 100%au ni kwa kiasi fulani tu au ni kwa kiasi kikubwa. Na ni kwanini? Kisayansi.
Tatu, ili mimba iweze kutungwa ni lazima yai la mwanamke liungane na mbegu ya uzazi kutoka kwa mwanamme, sasa ikiwa ili mimba itungwe lazima kuwepo na muungano wa mwanamke (yai ) na mwanamme (mbegu) iweje mtoto aweze kurithi toka kwa baba vitu km rangi ya ngozi, kimo yaani urefu au ufupi, sura nk lkn si akili,uwezo wa kiakili unatoka kwa mama.
Nne, Kama ndivyo ni ipi nafasi ya mazingira aliyokulia mtoto au malezi aliyopewa ktk kumjengea mtoto afya njema ya akili!? (Naomba mchango wako uwe wa kisayansi tu, mambo ya dini km yapo siyahitaji )
Mkuu nimekupenda bure
 
Back
Top Bottom