Uwezo wa kijeshi na kijasusi wa cuba ukoje?

Uwezo wa kijeshi na kijasusi wa cuba ukoje?

Mimi na amini kitendo cha inayoitwa BRICS kuonyesha muelekeo unao tishia maslahi ya us na washirika wake kutawagharimu sana china. Hili ni suala la muda tu.

Sidhan kam hyo BRICs itfankiwa maan nch znazound hyo brics yenyw zpo hoi kiuchum,may b china nd afadhal kdg
 
Win-win situation inajengwa hapo. US hawafaidiki tena na uhusiano mbaya kati yake na Cuba na pia wananchi wa Cuba wameumia sana kwa kipindi kirefu kiuchumi. Raul toka mwanzo ni mpenda maendeleo ingawa kaka yake ni mwenye msimamo mkali sana. Raul anataka smooth transition to better Cuba anapoondoka, lakini pia hapendi ujanja ujanja (mabeberu ndio zao). Mahusiano yatafunguka tu ila kutakuwa na compensation ya kitakachopotea. i.e Cuba anauza intelligence na US anahitaji kuzima hii biashara kwa kuwa na uhusiano mzuri. Cuba anaangalia situation itakuwa na faida gani kwa future ya kisiwa na watu wake.

ahsante. vipi kwa ujumla unaonaje, je US anawabwaga washindani wake kutokana na mtiririko wa matukio yanavyoenda?
 
Unapewa taarifa unazohitaji nawe unalipia kwa njia mbalimbali zinazokubaliwa kati ya pande mbili. North Korea anahitaji taarifa ya technolojia fulani ya anti-missile systems kama DI wanazo files wanamuuzia nae kwa mrejesho ana-repair silaha zao ambazo zimechakaa sana.


Kandarasi za hii biashara zinatangazwa wapi na vipi?

Lakini pia hii biashara si inafanya mshirika wako ajue udhaifu wako? Je kwenye mahusiano haya kuna kuaminiana kiasi hicho cha kujiexpose?
 
ahsante. vipi kwa ujumla unaonaje, je US anawabwaga washindani wake kutokana na mtiririko wa matukio yanavyoenda?

Kuna costly mistakes ambazo zinatokea na zinaigharimu sana Marekani kuzirekebisha. Unajua kwa sasa hamna ule ushindani mzito kama uliokuwepo zamani. Kwa ujumla sasa hivi ni kila mtu (nchi) anaangalia zaidi maslahi na kama ni umoja ni kwa ajili ya maslahi/ulinzi. China ana mzizi kwa kuwa amekita idelogy katika uendeshaji wa mambo yake. Wengine ni regimes tu ambazo si mzizi zikitoka na mambo yao yanaishia hapo au yanaweza kubadilika kabisa. Pale North Korea regime ile ikitoka tu... nchi ile si adversary kama inavyodhaniwa na itapewa support kubwa sana na western ili kuondokana na propaganda na umasikini. Kwa hiyo hamna mshindani wa moja kwa moja hata Russia ile core ya zamani imepungua.
 
Kandarasi za hii biashara zinatangazwa wapi na vipi?

Lakini pia hii biashara si inafanya mshirika wako ajue udhaifu wako? Je kwenye mahusiano haya kuna kuaminiana kiasi hicho cha kujiexpose?

Two players, one victim. Umekosa point hapo.
 
Sidhan kam hyo BRICs itfankiwa maan nch znazound hyo brics yenyw zpo hoi kiuchum,may b china nd afadhal kdg

Sidahni kama hiyo ni point ya msingi itakayoifanya BRICS ishindwe kusonga mbele.Labda niulize hivi kule Benki ya Dunia wote wapo sawa katika nguvu ya kiuchumi?Marekani yupo sawa na Tanzania?

BRICS ina vision yake na hata ukiangalia kwa kiasi kikubwa wanachama wake ni wale ambao uchumi wao unakua kwa kasi.Inawezekana Uchina ndio akawa ndiyo mwenye nguvu zaidi katika umoja huo mpya sawa na Marekani kule world Bank,naamini kama USA and his alliances hawataleta figisu figisu hapo katikati.
 
Back
Top Bottom