Mimi na amini kitendo cha inayoitwa BRICS kuonyesha muelekeo unao tishia maslahi ya us na washirika wake kutawagharimu sana china. Hili ni suala la muda tu.
Win-win situation inajengwa hapo. US hawafaidiki tena na uhusiano mbaya kati yake na Cuba na pia wananchi wa Cuba wameumia sana kwa kipindi kirefu kiuchumi. Raul toka mwanzo ni mpenda maendeleo ingawa kaka yake ni mwenye msimamo mkali sana. Raul anataka smooth transition to better Cuba anapoondoka, lakini pia hapendi ujanja ujanja (mabeberu ndio zao). Mahusiano yatafunguka tu ila kutakuwa na compensation ya kitakachopotea. i.e Cuba anauza intelligence na US anahitaji kuzima hii biashara kwa kuwa na uhusiano mzuri. Cuba anaangalia situation itakuwa na faida gani kwa future ya kisiwa na watu wake.
Unapewa taarifa unazohitaji nawe unalipia kwa njia mbalimbali zinazokubaliwa kati ya pande mbili. North Korea anahitaji taarifa ya technolojia fulani ya anti-missile systems kama DI wanazo files wanamuuzia nae kwa mrejesho ana-repair silaha zao ambazo zimechakaa sana.
ahsante. vipi kwa ujumla unaonaje, je US anawabwaga washindani wake kutokana na mtiririko wa matukio yanavyoenda?
Kandarasi za hii biashara zinatangazwa wapi na vipi?
Lakini pia hii biashara si inafanya mshirika wako ajue udhaifu wako? Je kwenye mahusiano haya kuna kuaminiana kiasi hicho cha kujiexpose?
Sidhan kam hyo BRICs itfankiwa maan nch znazound hyo brics yenyw zpo hoi kiuchum,may b china nd afadhal kdg