fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Kazi kweli kweliSio humu tu,nenda kwenye mitandao mingi tu,sikiliza vipindi vya redio,televisheni,maofisini,mashuleni,utajionea ukweli huu,haraka ya kujibu bila kuielewa hoja,kujibu hoja kwa matusi,kejeli na upuuzi mwingi.Kujenga hoja bila ushahidi,kutumia lugha chafu au kiswahili kibovu,tabia ya kujifanya kujua kila kitu,hata kwenye ndoa zetu shida ni hii hii.Je tatizo huwa ni nini? Karibuni kwa michango yenu
Sio humu tu,nenda kwenye mitandao mingi tu,sikiliza vipindi vya redio,televisheni,maofisini,mashuleni,utajionea ukweli huu,haraka ya kujibu bila kuielewa hoja,kujibu hoja kwa matusi,kejeli na upuuzi mwingi.Kujenga hoja bila ushahidi,kutumia lugha chafu au kiswahili kibovu,tabia ya kujifanya kujua kila kitu,hata kwenye ndoa zetu shida ni hii hii.Je tatizo huwa ni nini? Karibuni kwa michango yenu
Panctuation,comma sio maudhui ni fani,na hizo dosari haziharibu maana ya hojaTatizo la kitaifa, nadhani imekuja baada ya kudilute elimu kila eneo, huenda ndio sababu, hata wewe hapa kuweka punctuations kwenye paragraph yenye hoja yako umekwama! Inasikitisha sana taifani🙁
Sababu kuu ni kukosa elimu ya mijadala kuanzia ngazi ya primary hadi chuo.
Watu wameshindwa kabisa kujua namna ya kutoa hoja ,kujenga hoja na kuhimili maoni kinzani.
Shule nyingi primary na sec kwa Sasa hazina mijadala ya wanafunzi
Sasa hili ni tatizo kubwaSababu kuu ni kukosa elimu ya mijadala kuanzia ngazi ya primary hadi chuo.
Watu wameshindwa kabisa kujua namna ya kutoa hoja ,kujenga hoja na kuhimili maoni kinzani.
Shule nyingi primary na sec kwa Sasa hazina mijadala ya wanafunzi
Panctuation,comma sio maudhui ni fani,na hizo dosari haziharibu maana ya hoja
Sio nachagua,bali najibu,na nimekujibu kuhusu panctuation na commasKumbe unachagua vya kujadili, anyway poa😛
Sio nachagua,bali najibu,na nimekujibu kuhusu panctuation na commas
Majibu yako yanaonesha au kuthibitisha kilekile nilichokisema,kutoelewa hoja,kuparamia hoja,uwezo mdogo wa kuelewa na kuhimili hoja,na udhaifu mkubwa wa kujifanya kujua kuliko unachojuaUnategemea na maada husika, mfano mleta maada unaleta uzi wa kushangaa watu zama hizi kusikiliza mpira kwenye redio, ni maada ya kipuuzi kwa kua hukufanya upembuzi kujua vipato vya watu kumudu kununua runinga, upatikanaji wa nishati kwa baadhi ya maeneo, shughuli za watu n.k
Alileta hoja ya kushangaa kwanini hadi zama hizi watu wanasikiliza mpira kwenye redio badala ya Tv zilizosambaa kila kona.Kwanza mtoa mada kimekukuta nini? Hebu relax ili utueleze vizuri
Hapana umejibu vizuri tuSasa utajuaje kujenga hoja kama hujui comprehension? Anyway naona nimeingia cha kike
Nimesoma chuo mwanzo mwisho sikuwahi kuona debate ya maana zaidi nilikuwa naona ni hotuba za walio meza kuuTumeua debates kila mahali za lugha zote na kuruhusu kudesa vyuo vikuu kabisa, kule chini walimu wameacha bora liende tu so matokeo ndio haya tunayopata. Professionalism ikifa na taifa linakufa kila nyanja.
Asante kwa maoni yakoNimesoma chuo mwanzo mwisho sikuwahi kuona debate ya maana zaidi nilikuwa naona ni hotuba za walio meza kuu
Mic
Sec hasa hizi za kata hata zile za vipaji siku za debate ndio siku za mitihani na remedials hapa lazima shida ipatikane
Ukiua elimu umeua Kila kitu
Wewe ni mpuuzi tu, jambo la kipuuzi usitegemee kapakwa mafuta kisogoni ili kuku pet pet, beside si kila unaloshangaa wewe lazima liwe mshangao kwa wengine. Endelea kukaa tu kwa wazazi ukishangaa wanaosikiliza redio.Majibu yako yanaonesha au kuthibitisha kilekile nilichokisema,kutoelewa hoja,kuparamia hoja,uwezo mdogo wa kuelewa na kuhimili hoja,na udhaifu mkubwa wa kujifanya kujua kuliko unachojua
Sababu kuu ni kukosa elimu ya mijadala kuanzia ngazi ya primary hadi chuo.
Watu wameshindwa kabisa kujua namna ya kutoa hoja ,kujenga hoja na kuhimili maoni kinzani.
Shule nyingi primary na sec kwa Sasa hazina mijadala ya wanafunzi
Inashangaza sana, huu ni mfano sahihi wa msemo, " nyani haoni kundule " 😀Tatizo la kitaifa, nadhani imekuja baada ya kudilute elimu kila eneo, huenda ndio sababu, hata wewe hapa kuweka punctuations kwenye paragraph yenye hoja yako umekwama! Inasikitisha sana taifani🙁