Uwezo wa kujenga hoja, kuielewa hoja na kujibu hoja, bado ni tatizo

Uwezo wa kujenga hoja, kuielewa hoja na kujibu hoja, bado ni tatizo

Sio humu tu,nenda kwenye mitandao mingi tu,sikiliza vipindi vya redio,televisheni,maofisini,mashuleni,utajionea ukweli huu,haraka ya kujibu bila kuielewa hoja,kujibu hoja kwa matusi,kejeli na upuuzi mwingi.Kujenga hoja bila ushahidi,kutumia lugha chafu au kiswahili kibovu,tabia ya kujifanya kujua kila kitu,hata kwenye ndoa zetu shida ni hii hii.Je tatizo huwa ni nini? Karibuni kwa michango yenu
Mkuu umeshaweza kukaanga mayai.
 
Panctuation,comma sio maudhui ni fani,na hizo dosari haziharibu maana ya hoja

Anachoandika mtu ndicho anacho fikiria. Kama unashindwa kutulia ukapanga mawazo yako vizuri na ku ya present, hilo ni tatizo ambalo wewe mwenyewe unalizungumzia. Nakubaliana na wewe kuwa hili ni tatizo la kitaifa.
 
Tumeua debates kila mahali za lugha zote na kuruhusu kudesa vyuo vikuu kabisa, kule chini walimu wameacha bora liende tu so matokeo ndio haya tunayopata. Professionalism ikifa na taifa linakufa kila nyanja.
ni kweli kabisa
 
Wewe ni mpuuzi tu, jambo la kipuuzi usitegemee kapakwa mafuta kisogoni ili kuku pet pet, beside si kila unaloshangaa wewe lazima liwe mshangao kwa wengine. Endelea kukaa tu kwa wazazi ukishangaa wanaosikiliza redio.
Walewale waliokunywa uji wa mgonjwa
 
Kwanza mtoa mada kimekukuta nini? Hebu relax ili utueleze vizuri
Yaleyale,hoja imeletwa,wajibu wako ama kukaa kimya kama huna la kujibu,au jibu hoja,sasa ulichoandika mie sina la kukujibu
 
Back
Top Bottom