Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
Mkuu umeshaweza kukaanga mayai.Sio humu tu,nenda kwenye mitandao mingi tu,sikiliza vipindi vya redio,televisheni,maofisini,mashuleni,utajionea ukweli huu,haraka ya kujibu bila kuielewa hoja,kujibu hoja kwa matusi,kejeli na upuuzi mwingi.Kujenga hoja bila ushahidi,kutumia lugha chafu au kiswahili kibovu,tabia ya kujifanya kujua kila kitu,hata kwenye ndoa zetu shida ni hii hii.Je tatizo huwa ni nini? Karibuni kwa michango yenu
Panctuation,comma sio maudhui ni fani,na hizo dosari haziharibu maana ya hoja
ni kweli kabisaTumeua debates kila mahali za lugha zote na kuruhusu kudesa vyuo vikuu kabisa, kule chini walimu wameacha bora liende tu so matokeo ndio haya tunayopata. Professionalism ikifa na taifa linakufa kila nyanja.
Walewale waliokunywa uji wa mgonjwaWewe ni mpuuzi tu, jambo la kipuuzi usitegemee kapakwa mafuta kisogoni ili kuku pet pet, beside si kila unaloshangaa wewe lazima liwe mshangao kwa wengine. Endelea kukaa tu kwa wazazi ukishangaa wanaosikiliza redio.
Yaleyale,hoja imeletwa,wajibu wako ama kukaa kimya kama huna la kujibu,au jibu hoja,sasa ulichoandika mie sina la kukujibuKwanza mtoa mada kimekukuta nini? Hebu relax ili utueleze vizuri