ulipoanza tu kusema alikiba amefeli kila kitu mpaka kwenye ndoa.
then kwa Nassibu unasema tuachane na madhaifu yake, tuangalie positive things kuhusu yeye...!
sasa kwa nini kwa Nassibu tuangalie positive things, ila kwa Ali tuangalie vitu negative mpaka ndoa yake Wewe inakuhusu nini?
Unafatilia mziki wake au ndoa yake?
kwanzia hapo umefeli na kuoneaha chuki.
narudia tena.
huna akili...
niliuliza Kwanini mtoa mada anasema mashabiki wa Alikiba wana IQ ndogo,in other words nilikua nasema ni impossible kuwa na watu wenye IQ ndogo peke yake...Posts zimefutwa..kulikua na maneno humu..balaa...
Hahaha kwaiyo alikiba na diamond ndio kipimo cha kujia iq ya mtu? (sisemi kama we ndo umesema)
Ila nimejikuta nacheka tu
Nimesema idea ya wimbo huo chanzo chake kilianzia kwenye jina la album yaoKwahyo kama video ilikuwepo kitambo lakini ikaja kuachiwa official 2018 Diamond ana access gani ya kupata hiyo video early in 2017 mpaka akacopy idea zake!?...kwamba Diamond ana connection na DAPS au? au tuseme labda Diamond ana watu wake Pale quality control music wamemfanyia connection ya kuiona video before haijatoka??..halafu wewe umeleta case nyingine kabisa sana ya movie hata mimi movie nyingine nimeziona before hazijazinduliwa rasmi ni nyingi sana zimetokea huwa zipo kwenye platform mbalimbali kabla hata ya kuzinduliwa hizi kesi ni tofauti kabisa na suala la video za muziki..after all idea pia ya migos ilikuwepo kwenye wimbo wa kibongo inaitwa TINA msanii nimemsahau someone P sema ni featuring Juma Nature..je tuseme napo migos wameiga idea ya huyo jamaa!?..hakuna jipya chini ya jua hapo bado hujapangua point ya jamaa kwamba diamond hajaiga umejitetea bure tu
Wenzako wamekuzidi kihojaNimesema idea ya wimbo huo chanzo chake kilianzia kwenye jina la album yao
Halafu ulivyozungumzia hapo ni kama unazungumzia habari ambayo ilifanyika karne ya tatu ambako dunia ilikua sio kijiji
Nakupa info tu kwamba dax kabla hajachia video ya wimbo wa book of revetation "official" tayari alisha i-reveal idea ya hiyo video ambayo alikua bado hajaiachia
Hili swala linaweza likawa gumu kwako kulielewa probably labda kwasababu huna fani hiyo lakini kwa mtu ambaye anajihusisha na hizi kazi habari kama hii ni keyword tosha
Wenzako wamekuzidi kihoja
Mkulungwa tuna ugomvi mimi na wewe?Halafu ni kanafki haka karobinyo ingia kwenye Uzi ule wa Diva amsifia Alikiba ule ambao Jana umefukuliwa kaburi content yake ni diva kumsifia Alikiba kimapenzi enzi hizo zinaiva utaona comment ya robinyo akimsifia diva halafu nenda kwenye Uzi wa urafiki wa diva na Alikiba umekufa angalia robidinyo alivyomponda diva..unaweza kuscreenshot hizo comment kwa matumizi ya baadae
Kama ni "Kihoja" sawa wala sina tatizo katika hiloWenzako wamekuzidi kihoja
Hapana mkuu relax,,ila nakuonaga wa ajabu unavyokuwaga mwepesi wa kutoka lugha chafu kumpigania Alikiba upon tofauti sana na jamaa Waberoya ambaye anakupa facts akiwa anaongelea upande wa Alikiba mpaka mtu inasema dah huyu jamaa hapa haina haja tena ya kumpinga...halafu kitu kingine ni kwamba kwakuwa wewe ni mshabiki wa Kiba basi unaamin una haki ya kumtukana na kumpiga majungu diamond hakuna Uzi umeuanzisha humu bila kuitaja WCB lazima tu utupe kijembe na kejeli kwa upande mwingine mbona wenzako hawapo hivyo?? halafu pia ni mnafki Leo unaweza kusema hivi kesho inasema hivi..sasa Mimi nikishaonaga mtu ana unafki na chuki kwa mtu mwingine huwa namshangaa sanaMkulungwa tuna ugomvi mimi na wewe?
Hakuna mwanamziki yoyote hapa bongo mwenye mashabiki pekee wenye IQ ndogo au kubwa mashabiki wamechanganyikana wote diamond na kiba Wana mashabiki wenye IQ ndogo na kubwa pia labda aseme kiwango Cha mashabiki wenye IQ ndogo au kubwa wanamshabikia msanii hapa nitamueleweAtakuwa na IQ ndogo au siyo?
Hakuna mwanamziki yoyote hapa bongo mwenye mashabiki pekee wenye IQ ndogo au kubwa mashabiki wamechanganyikana wote diamond na kiba Wana mashabiki wenye IQ ndogo na kubwa pia labda aseme kiwango Cha mashabiki wenye IQ ndogo au kubwa wanamshabikia msanii hapa nitamuelewe
Mkuu umeshaset mind yako juu yangu na hauwezi kuibadilisha, Hajanijua vizuri nifatilie tena, kuhusu kutukana, hapana kuhusu unafiki pia hapana, Majungu napiga sana tena sana..Hapana mkuu relax,,ila nakuonaga wa ajabu unavyokuwaga mwepesi wa kutoka lugha chafu kumpigania Alikiba upon tofauti sana na jamaa Waberoya ambaye anakupa facts akiwa anaongelea upande wa Alikiba mpaka mtu inasema dah huyu jamaa hapa haina haja tena ya kumpinga...halafu kitu kingine ni kwamba kwakuwa wewe ni mshabiki wa Kiba basi unaamin una haki ya kumtukana na kumpiga majungu diamond hakuna Uzi umeuanzisha humu bila kuitaja WCB lazima tu utupe kijembe na kejeli kwa upande mwingine mbona wenzako hawapo hivyo?? halafu pia ni mnafki Leo unaweza kusema hivi kesho inasema hivi..sasa Mimi nikishaonaga mtu ana unafki na chuki kwa mtu mwingine huwa namshangaa sana
Why waste energy and time kwa 'no body'??
Why waste energy and time kwa wenye IQ ndogo ambao hawatakuelewa na IQ zao ndogo? Umewaongezea IQ ili wakuelewe??
Wewe ni mbinafsi ndio maana unaanza na kusema mimi hivi, mimi vile...who cares?
Hao wenye IQ ndogo chukulia kama sisimizi, siafu , mende au panya wanaokimbilia mzoga ambao ni Ali Kiba....they enjoy na kuwa na maisha yao kwenye ...Empire yao ya Wenye IQ ndogo. Yaani leo ukikuta sisimizi wanagombaniana mzoga unaanza kuwafukuza kwenye mzoga wao? Ukiwafukuza si wanarudi tena? Nani anaonekana ana akili?
Best way wewe muue ali kiba ili hao sisimizi wasimfuate
Haujajua IQ ndogo ya mama yako ilimkubali baba yako ukazaliwa wewe, mama yako angekuwa na IQ kubwa angezaa na bill gate au Mengi... Na kamwe usingekuwa na ID fake humu
Waache watu na maisha yao
Kuna jux, marioo, barnaba, harmonize, dulluz fid q, nandi, ruby, aslay kibao na hawa wote wana wapenzi wao...mpaka amber ruty, gigi money na wewe ukianza leo na sauti yako ya kishoga..utapata mashabiki...hatutawaita wana IQ ndogo when the word 'love' is involved
Umechemka na ukae kimya...ukitaka kuponya nafsi yako
Na sisi wa Dudu Baya je? lol
Saf sana mkuu... maana hata yeye mtoa mada kuna watu wanamuelewa japokuwa ni kigagula [emoji3]Why waste energy and time kwa 'no body'??
Why waste energy and time kwa wenye IQ ndogo ambao hawatakuelewa na IQ zao ndogo? Umewaongezea IQ ili wakuelewe??
Wewe ni mbinafsi ndio maana unaanza na kusema mimi hivi, mimi vile...who cares?
Hao wenye IQ ndogo chukulia kama sisimizi, siafu , mende au panya wanaokimbilia mzoga ambao ni Ali Kiba....they enjoy na kuwa na maisha yao kwenye ...Empire yao ya Wenye IQ ndogo. Yaani leo ukikuta sisimizi wanagombaniana mzoga unaanza kuwafukuza kwenye mzoga wao? Ukiwafukuza si wanarudi tena? Nani anaonekana ana akili?
Best way wewe muue ali kiba ili hao sisimizi wasimfuate
Haujajua IQ ndogo ya mama yako ilimkubali baba yako ukazaliwa wewe, mama yako angekuwa na IQ kubwa angezaa na bill gate au Mengi... Na kamwe usingekuwa na ID fake humu
Waache watu na maisha yao
Kuna jux, marioo, barnaba, harmonize, dulluz fid q, nandi, ruby, aslay kibao na hawa wote wana wapenzi wao...mpaka amber ruty, gigi money na wewe ukianza leo na sauti yako ya kishoga..utapata mashabiki...hatutawaita wana IQ ndogo when the word 'love' is involved
Umechemka na ukae kimya...ukitaka kuponya nafsi yako