Uwezo wa kumiliki roho/mapepo yenye nguvu

Uwezo wa kumiliki roho/mapepo yenye nguvu

mshana jr hii ni elimu kubwa sana tena inataratibu zake kuijua.
hakunaga vyeti huko sijui Dr. le profeseri hakuna iyo kitu. nitarudi kitambo kidogo.
 
Last edited by a moderator:
@Bynduki ngoma inogile hiyo


Waliendelea na maisha yao ya kila siku ambapo Baba Midoli alizidi kunogewa na utam wa sayansi aliyojifunza.

Ukionja utam wa nyama wanasema ni lazma utake tena. Baba Midoli alikuwa anaishi na wazee wake pale nyumbani kwake.

'Baba Midoli......Baba Midoli kimbia mume wangu BABA anatokwa na damu puani na maskioni'


Ilikuwa ni sauti ya Mama Midoli akimwita mumewe akamtazame BABA YAKE MZAZI (MKWE WA MKEWE) alikuwa akitokwa na damu ghafla tu.

Haikuchukua muda mzee wa watu hakuweza kutoa hata kauli ya mwisho, ni kama vile Baba Midoli aliitwa amtazame BABA YAKE MZAZI akifa, alikata roho mbele ya mwanawe (BABA MIDOLI) akishuhudia mzee wake akikata roho.

'jaribu kuwaita majirani watusaidie Baba Midoli'

'kwani majirani ndio MUNGU wataweza kuzuia hiki kifo...?'


Baba Midoli alimfokea mkewe na kuongeza...

'kama MUNGU ameandika apone atapona tu na kama amepanga afe atakufa tu hata tukimwita nani'

Hiyo ilikuwa ni kauli kutoka kinywani kwa mtoto wa kumzaa mwenyewe (BABA MIDOLI) akikataa katakata kuita watu watoe msaada juu ya tukio lililomtokea Baba yake mzazi.

'ASANTE MWANANGU'

Ilikuwa ni kauli ya mwisho toka kwa Baba yake mzazi na hapohapo mzee wa watu akakata ROHO.

Hilo lilikuwa zoezi la kwanza kwa Baba Midoli KUUA NA KUMILIKI MSUKULE ambaye amemtengeneza yeye mwenyewe akiwa ni Baba Mzazi.

Ilikuwa ni gharama kubwa mno kununua misukule kutoka kwa wachawi wengine akaona ni bora akajifunza jinsi ya kuweza KUUA MTU na kumfanya msukule ili asiwe akinunua kuepuka gharama za manunuzi na kumiliki misukule ni gharama mno. Mtu anaweza akawa yuko radhi akose kila kitu ili pesa yote apeleke kwa wachawi manguli ili kuongeza kipaji chake.

Zoezi la kwanza alilifanya kwa Baba yake mzazi wa kumzaa, sasa swali la kujiuliza haraka haraka tu ni kuwa ; kama mchawi anaweza kumuua BABA, MAMA, AU MTOTO ataweza kuwa na huruma kwa mtu baki kweli...?. Nadhani utakuwa na jibu la swali hilo kichwani mwako.

Shughuli za msiba na mazishi ziliendelea lakini hali ilikuwa mbaya sana pale msibani kukiwa na mambo ya ajabu ajabu sana na ya kutisha mno yakijitokeza kila wakati pale kwenye msiba.

Ndugu wengine waligoma marehemu asizikwe kwanza mpaka watakapomaliza mambo ya mila, ila kwa kuwa BABA MIDOLI ndio mtoto pekee wa kiume kwa upande wa Baba na Mama ; hakukuwa na mwenye sauti wala uchungu kuliko yeye pale msibani, hivyo akaamua maiti izikwe.

Ni mambo gani ya ajabu yaliyotokea hapo msibani?, Wale ndugu walitaka kufanya nini mpaka wakashauri marehemu asizikwe kwanza?, Kwa nini Baba Midoli aliamua kumuua BABA MZAZI na sio mtu mwengine?, je ilikuwa ni kwa ajili ya kuongeza misukule au lengo lilikuwa ni tofauti na hilo...?.JIBU UNALO.
 
Mshahara wa kila dhambi ni mauti. Mungu hafurahii kifo cha MTU muovu that's why tunaangamia kwa kukosa maarifa.
Cindy wangu I love you. Wewe ndio wazo langu LA Mwisho LA siku na wazo langu LA mwanzo LA kesho
 
Mshahara wa kila dhambi ni mauti. Mungu hafurahii kifo cha MTU muovu that's why tunaangamia kwa kukosa maarifa.
Cindy wangu I love you. Wewe ndio wazo langu LA Mwisho LA siku na wazo langu LA mwanzo LA kesho

Nakubaliana nawe kabisa katika hili
 
UKAWA TOLEO JIPYA HAIFAI KUPEWA DHAMANA YA KUONGOZA TAIFA HILI PENDWA LA JMT, NI GENGE LA WAHUNI, WASALITI WA MISINGI YAO, VIGEUGEU, WANAFIKI NA WAZANDIKI WALIOTUKUKA, watanzania hatupo tayari kuuza nchi yetu, TUMESHASEMA KWA WINGI KUWA HATUTACHAGUA UKAWA TOLEO JIPYA.
Mliotolewa ufahamu endeleeni na UZEZETA WENU.

Eeeh jamani........mtuwache sasa..........
kule tumewakimbia.........mmetufuat a tena huku......?.......mnatutaka nini lakini........?
tushakusoma........tumekuelewa ........basi ondoka........aaaaah........ mshana jr mwaya niadisie kuhusu.......mkumba vana.......(sijui nimepatia)........najua ipo huko kwenu...........
 
Last edited by a moderator:
Eeeh jamani........mtuwache sasa..........
kule tumewakimbia.........mmetufuat a tena huku......?.......mnatutaka nini lakini........?
tushakusoma........tumekuelewa ........basi ondoka........aaaaah........ mshana jr mwaya niadisie kuhusu.......mkumba vana.......(sijui nimepatia)........najua ipo huko kwenu...........

Mpotezee tu huyo kalipwa kwa kazi maalum hili bandiko lake limejitokeza kwenye post zangu zaidi ya tatu... Na halina kabisa uhusiano na hizo post na limekaa kichochezi Sijui kama sheria za JF zinaruhusu hili.. Invisible na Moderator wanaweza kulitolea ufafanuzi
 
Last edited by a moderator:
Mpotezee tu huyo kalipwa kwa kazi maalum hili bandiko lake limejitokeza kwenye post zangu zaidi ya tatu... Na halina kabisa uhusiano na hizo post na limekaa kichochezi Sijui kama sheria za JF zinaruhusu hili.. Invisible na Moderator wanaweza kulitolea ufafanuzi

Yani namuona kama poyoyo fulani hivi.........asipoangalia vizuri waliomuajiri wanaweza mfukuza kazi kwa maana anaboa sasa...........angebadili mbinu labda tungemuelewa........siasa ubunifu jamani.......khaaa........
 
Yani namuona kama poyoyo fulani hivi.........asipoangalia vizuri waliomuajiri wanaweza mfukuza kazi kwa maana anaboa sasa...........angebadili mbinu labda tungemuelewa........siasa ubunifu jamani.......khaaa........

Wapo wawili yeye na yule anayejiita Mr chin
 
Tuna visa vingi sana vya mauaji ya kutisha ya watu wa kawaida na watu walemavu hasa wenye ulemavu wa ngozi
Tuna visa vingi vya mauaji ya kikatili na watu kunyofolewa viungo-tukio la karibuni kabisa likiwa la mjini Arusha ile maiti iliyokutwa chumbani kwenye hotel moja maarufu ikiwa haina kichwa na viungo kadhaa.

Tuna mauaji ya koromeo watoto wadogo na hata vikongwe na saa nyingine watu wenye nahitaji maalum tuna upotevu mkubwa sana wa watu hasa watoto tungekuwa tunaweka takwimu za siku wiki mwezi na mwaka tungetafuta chanzo na ufumbuzi wa haraka lakini bahati mbaya sana tunaishi kwa mazoea na kudhani kila kitu ni kudra za Mwenyezi Mungu Tunapotoka.

Dunia inaumwa!Madaraka utajiri maarufu na kupendwa vinaangamiza roho nyingi zilizokuwa na hatia tunaichosha dunia iliyokwishazeeka.Haya yote tunayoyatafuta ya kumiliki utajiri madaraka umaarufu na kupendwa yanatusababisha kumiliki roho zenye kisasi juu yetu kisasi cha ukatili tuliofanya kwenye miili yao Kwa ajili ya kupata damu na viungo.

Visa vya watu wanaokufa kimazingara, visa vya watu wanaokufa kwa ajali za kutengeneza visa vya watu wanaouliwa kwa Mateso na kuchukuliwa viungo yao roho zao hazina nguvu ya kutenda utakayo kama visa vya mtu anayepotea na kufa bila kujijua na ndugu na jamaa wakibaki na sintofahamu ya kwamba uko hai au umekufa.

Maneno huumba, ile hali tu ya maiti yako kuonekana na kuzikwa hupunguza nguvu ya roho yako kuleta matokeo yanayotakiwa na waganga na wachawi wa level ya chini ndio hutumia viungo halisi na reflections za maiti halisi kufunika ukweli watu wabaya kabisa na wa kuogopwa mno ni wale wanaopoteza watu na baadae kuwaangamiza na kutumia malighafi za mhanga kwa lengo kusudiwa.

Hii hurahisisha mengi kwakuwa katika ulimwengu wa physical bodies hajulikani kama umekufa au la na watu huogopa kuweka matanga wakihofia siku moja unaweza kuonekana. Kwahiyo hii trend ya kupotea kwa watu kila siku ina maana yake kubwa sana isiyosemwa wala kujulikana na wengine na kama kuna ndugu jamaa au rafiki alishawahi kupotea kimoja.

Tafakari post hii
 
Back
Top Bottom