Uwezo wa kuwapiga tunao, sababu ya kuwapiga tunayo na Nia ya kuwapiga tunayo!

Uwezo wa kuwapiga tunao, sababu ya kuwapiga tunayo na Nia ya kuwapiga tunayo!

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,586
Reaction score
11,227


Hii ndiyo kauli mbiu bora kabisa kutoka kwa mjangwani mwenzetu. Hakika tunaenda kuwagaragaza simba hawa wa manjano pale kwa mkapa. Karibu tuburudike.
Dominika njema!

 

Attachments

  • BEST_SAVES_OF_DJIGUI_DIARRA_MICHOMO_NA_PASI_ZAKE_ZA_UPENDO_HIZI_HAPA.(360p).mp4
    24.1 MB
  • Screen_Protector_Djigui_Diarra_Mikono_Salama🧤🧤(1080p).mp4
    31 MB
Nyie Kina nani....!?

Kama nyie ni Utopolo,Nia na Sababu hamuwezi kukosa..!

Uwezo Sasa..! Ndo tatizo Linapoanzia..!
 
Back
Top Bottom