Miki123
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 289
- 503
Hii ni rank ya maraisi kutokana na ukuaji wa pato la mtu mmoja mmoja kipindi ambapo wameingia madarakani katika miaka yao mitano ya mwanzao, rank inaanza kwa mwenye pafomansi kubwa hadi mwenye ndogo (orodha hii imeondoa awamu ya kwanza na ya pili)
1. Rais Benjamin William Mkapa
Kati ya mwaka 1995-2000, gdp per capita ya Tanzania ilikuwa inakuwa kwa 9.2%
Ukuaji mkubwa zaidi ulitokea kati ya 1996 hadi 1998 baada ya hapo ukuaji ukawa ni taratibu hadi kipindi anatoka madarakani
2. Rais Jakaya Mrisho Kikwete
Kati ya mwaka 2005-2010 gdp per capita ya Tanzania ilikuwa kwa 8.8%, kipindi hiki ukuaji pato mtu mmoja mmoja (gdp per capita) ilianza kukua tena kwa kasi kama ilivyokuwa kipindi cha mwanzo cha rais mkapa
Ukuaji mkubwa ulitokea kati ya 2006-2008 ila 2009 ukuaji ulikuwa mdogo ila kuanzia 2010 kasi ya ukuaji ilikuwa kubwa kwa wastani 9.3% mpaka awamu yake ilipoisha
3. Rais John Pombe Magufuli
Kati ya mwaka 2015-2020 gdp per capita ya Tanzania ilikuwa kwa wastani wa 3.2%
Ukuaji wa pato la mtu mmoja mmoja nchini ulikuwa ni mdogo kwa wakati wote isipokuwa mwaka 2020 ambapo gdp per capita ilikuwa kwa 5%
Ila kwa miaka mitatu mfufululizo(2016-2019) gdp per capita ilikuwa kwa 3%, hiki ndio kipindi msemo wa vyuma vimekanza uliibuka,
4. Rais Samia Suluhu Hassan
Kati ya mwaka 2021-2024 gdp per capita ya Tanzania imekuwa ikikuwa kwa wastani wa 2.17%
Katika miaka mitatu ya Rais ni mwaka 2022 tu pato la mtu mmoja mmoja lilikuwa kwa 4% kwani baada ya hapo ukuaji sio mzuri hasa kwa mwaka 2023 na 2024.
Huku mwaka 2024 ndio ikiwa na ukuaji mdogo zaidi katika miaka 30, kwani kwa kutazama taarifa za IMF, utaona gdp per capita imekuwa kwa 0.7%
Reference: Word Bank na IMF