Uwezo wa NIMR unafikirisha kutoa Tiba Lishe ya kufubaza Virus vya UKIMWI, tunaweza kuacha na ARV zenye masharti

Kweli wewe ni Deceptor, kwahiyo unataka kutuambia hakuna VVU au mimi sijakuelewa?
 
Emb kwenda huko!
Hahahhaha
Tatizo lako mmebaki na hasira baada ya tarehe 28 Oktoba. Huu mchezo hautaki hasira.

Tiba zipo na ndio maana JPM 2020 - 2025 kaliona hili na litafanyiwa kazi utake usitake na hasira zako. Wewe ndiye utakwenda huko.
 
Hahahhaha
Tatizo lako mmebaki na hasira baada ya tarehe 28 Oktoba. Huu mchezo hautaki hasira.

Tiba zipo na ndio maana JPM 2020 - 2025 kaliona hili na litafanyiwa kazi utake usitake na hasira zako. Wewe ndiye utakwenda huko.
Sijadili ujinga na wajinga. Kama watu walienda kunywa uchafu kule Loliondo sasa mimi naanzaje kuchukua mawazo yao ya kijinga?
 
[QUOTWa nchi bkar"Bill, post: 37291538, member: 6361"]
Tatizo lako ndugu unaongea vitu toka hewani huna ushahidi hata mmoja herbs zinavyofanya kazi.

Kwa ufupi herbs mpaka sasa zinatibu VVU/HIV mimi nina ushuhuda toka kwa ndugu yangu. Amepona kabisa kabisa kwa herbs hizo.
[/QUOTE]
Mkuu wa nchi kaliona hilo. Herbs zinasaidia sana. Mimi nina dawa ya Natalia ukiinywa grantii miaka 8 inaitwa omushana kutoka kwenye vimsitu vya ruhita. Lakini kuna majitu yanadharau. Bk kuna wamama wanatibu ugumba llakini kuna majitu bado mabishi yaanashindwa kupata watoto kwa dharau.
 
Hata Coca-Cola ilitokana na mitishamba, usibishi bila reference.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…