Uwezo wa Roma Mkatoliki kutunga na kuandika nyimbo za harakati za kisiasa na utawala ni mdogo mno

Mtu akikwambia unaakili km ya kada wa CCM ni sawa na kukuita shoga
 
Mnapiga mabou mochawari mnajisifu mmeuwa...kama IQ yako ya kuvukia barabara huwezi kuelewa...mnavunja kidole gumba mnaacha cha Kati...Roma ni noma
 
Unamlinganisha na nani hadi useme uwezo wake ni mdogo? Naona umeandika huu uzi kwa mihemko.@Kawe Alumni,
 
''Kwetu Bima ya afya ni bora kuliko Ndege' anaitwa Roma
 
Mbona hujaandika number ya simu na jina mwishoni
 
Mmekosa hoja sasa mmeamua kujuficha kwa wimbo wa Roman mcatholic
Nitolee wivu wako hao wakina mbaraka waliimba kutokana na nyakati zao, Roma naye anaimba kutokana na nyakati zake usitulazimishe wote tuwe na degree 4
 
Mrisho mpoto alishawahi kusema ukisikiliza nyimbo zake mara mbili usipoelewa tambua huna uwezo wa kuzielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…