Uwezo wa Sigara katika kutibu na kukinga dhidi ya magonjwa mbalimbali

mahroof

Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
50
Reaction score
63
Asalam Aleykum..

Uvutaji wa Sigara endapo utazingatiwa kwa kipimo maalumu unaweza kuleta matokeo chanya zidi ya magonjwa mbalimbali pamoja na kinga.

Yafuatayo na magonjwa yanayoweza kutibiwa au kukingwa kwa uvutaji wa sigara.

*Bacteria na Fangasi (Fungus):
Iwapo muathilika atatumia kwa kiasi na kwa kuzingatia mda kwa kutumia sigara moja baada ya masaa mawili
Iwapo ndani ya wiki tatu ugonjwa utakuwa umeshakoma. Sigara ina nicotine na cafein zinazo saidia kuua vimelea vya magonjwa tajwa.

*Maradhi ya Ngozi:
Matumizi sahihi ya sigara husaidia kufanya ngozi kuwa imara na kinga dhidi ya magonjwa.

*Kupunguza Uzito:
Endapo mtumiaji atatumia sigara zaidi ya mbili kila baada ya saa moja na baada ya chakula husaidia kupunguza uzito. Tafiti Chuo kikuu cha Wits cha nchini Afrika Kusini.

*Tiba dhidi ya Kansa:
Endapo mgonjwa wa Kansa atapewa sigara itamsaidia kupunguza kutawanyika kwa Kansa.

- Baadae nitakuja na hasara za uvutaji sigara.

Wasalaam,

Ramadhan Kareem..
 
Kwa anaye jua madhara ya uvutaji wa sigara karibu utusaidie nitakuja kuongezea baada ya michango na changamoto
 
Kwa kuonezea katika faida za uvutaji sigara;
-kisaikolojia sigara inaweza kumfanya mtu kuchangamka nakuondoa msango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…