Uwezo wa suzuki carry (kirikuu)

Uwezo wa suzuki carry (kirikuu)

Anithape

Senior Member
Joined
Nov 14, 2018
Posts
131
Reaction score
136
Nimenunua kirikuu cha kugangia njaa mjini hapa. Lengo langu nataka kinitumikie japo miaka 2.

Nawaomba ushauri, nikibebeshe maximum kilo ngapi? au gunia ngapi za mahindi?

Asanteni
 
Mkuu Hongera Sana Kwa Kupata Gari
Ila Hiyo Gari Ni Moja Ambazo Hazina Bahati
Traffic Wakiiona Tu, Shida, Pakia Nusu Tani Inatosha Tu
 
Nimenunua kirikuu cha kugangia njaa mjini hapa. Lengo langu nataka kinitumikie japo miaka 2.

Nawaomba ushauri, nikibebeshe maximum kilo ngapi? au gunia ngapi za mahindi?

Asanteni
kg 350 sawa na mifuko saba ya cement.
 
Nikibeba nusu tani, mifuko 10? kirikuu kitakufa?
utakuwa unalazimisha na ndio hapo gari inaanza kuchoka mapema
20201029_151437.jpg
 
Back
Top Bottom