Uwezo wa suzuki carry (kirikuu)

Anithape

Senior Member
Joined
Nov 14, 2018
Posts
131
Reaction score
136
Nimenunua kirikuu cha kugangia njaa mjini hapa. Lengo langu nataka kinitumikie japo miaka 2.

Nawaomba ushauri, nikibebeshe maximum kilo ngapi? au gunia ngapi za mahindi?

Asanteni
 
Mkuu Hongera Sana Kwa Kupata Gari
Ila Hiyo Gari Ni Moja Ambazo Hazina Bahati
Traffic Wakiiona Tu, Shida, Pakia Nusu Tani Inatosha Tu
 
Nimenunua kirikuu cha kugangia njaa mjini hapa. Lengo langu nataka kinitumikie japo miaka 2.

Nawaomba ushauri, nikibebeshe maximum kilo ngapi? au gunia ngapi za mahindi?

Asanteni
kg 350 sawa na mifuko saba ya cement.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…