Uwezo wa tendo la ndoa

Mimi sijui, bt nakushauri uende kumuliza babu yako hili swali!
 
kama hauna magonjwa sugu kama vile kisukari, pressure, nk (kwani haya husababisha erectile dysfunction katika umri wowote ule) basi ukifika umri wa kati (middle age,>45 yrs) nguvu zinaanza kupungua, urijali unashuka, statistically
 
haya mambo sio upande mmoja tu.
uwezo unaofanikiwa kumfikisha mrembo kunako kilele
unaweza ukashindwa kumfikisha mrembo mwengine wa rika
lile lile la mrembo aliyefikishwa.
 
Hii naona imekaa too general, anyway sidhani kama tunaweza kuweka clear cut, nafikiri inategemea zaidi na life style ya mtu
 
Jibu lako zuri kuna vijana wa kizazi hichi cha chips/kuku wa ARV vinazopikwa na mafuta ya transforma wanashindwa kupafomu na hata wakiweza ni kimoja tu na kuna wazee wa 50-65 ambao wanachapa viboko mpaka mwanamke anaomba maji ya baridi.Kwahiyo chakula na mazoezi ni muhimu.
 
Mara nyingi mwanaume inategemea na life style ya ujana na aina ya vyakula ndo itaamua muda wa wewe kushindwa au kupungua kufanya hiyo shughuli ya mautam!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…