Uwezo wa wachezaji wa zamani, sijapata kuona kwa sasa

Uwezo wa wachezaji wa zamani, sijapata kuona kwa sasa

Zamani wengi walistaafu mpira wa ushindani wakiwa na miaka 32-34, siku hizi wengi wanastaafu above 36 yrs

Mkuu Tatizo la vijana wakisasa wengi wanaishi kwa kukariri
 
  • Thanks
Reactions: K11
Mmmmh!
Mkuu sio kwamba wazamani walikua wako fit kuliko wa sasa hivi!?
Anyway tufanye yametamatika.

wachezaji wa sasa wanacheza mda kubwa zaidi wakiwa fit, fit zao huanza mapema zaidi wakiwa na umri mdogo na pia huchelewa kuchoka, nahisi hili linachangiwa na maendeleo ya mazoezi na masuala ya kiafya kiujumla.
 
Back
Top Bottom