Zamani wengi walistaafu mpira wa ushindani wakiwa na miaka 32-34, siku hizi wengi wanastaafu above 36 yrsMmmmh!
Mkuu sio kwamba wazamani walikua wako fit kuliko wa sasa hivi!?
Anyway tufanye yametamatika.
Kunywa water guard mkuuMessi ni very overrated
You must be delusional.Messi ni very overrated
With time uwezo unaisha sijui Ndio vineeeenaaa vinawamaliza nguvu!😊
Zamani wengi walistaafu mpira wa ushindani wakiwa na miaka 32-34, siku hizi wengi wanastaafu above 36 yrs
Mmmmh!
Mkuu sio kwamba wazamani walikua wako fit kuliko wa sasa hivi!?
Anyway tufanye yametamatika.