Nashukuru kwa kumnyoosha huyo koloNa wanaimba midomoni mwao kuwa ni kocha mwenye profile kubwa, profile yenyewe ni ipi ni kuchukua kombe hilo hilo wanaolibeza. Ukisikia usemi wa sizitaki mbichi hizi ndio hawa makolofive vijana wa Rage.
Kuna mahala YANGA wamekushiika pabaya. 5G? Sio kwa hasira hizo.Hii timu ipo vizuri sana kwa ligi ya NBC, wana makelele na tambo nyingi sana kitaifa, ila wakiingia kimataifa wanakuwa mdebwedo.
🤣🤣🤣🤣Mikia mnaumia sana mafanikio ya Yanga.
Yanga anamaliza na zaidi ya pointi 10.
Nimekaa pale👉
Yeah imefika Fainali Mara moja..hii simba inayoongelewa na wachambuzi uchwara kuwa inauzoefu kimataifa imeshachukua kombe lolote la caf au kufika fainali yoyote ya kombe kubwa la caf ?
Hasa hawa wachambuzi wanachofanya ni kuzidi kuiua ibweteke na sifa za bure tu.
subiri mechi zimeisha?ngoja mechi ziishe tukishika mkia ndio muongeeNi kimataifa, na ndipo Yanga yetu inashikilia mkia kwa kundi D.
Ukija kitaifa (NBC league) Yanga wanaongoza huku [emoji23]
Unazungumzia caf cup kombe la abiola ???Yeah imefika Fainali Mara moja..
Rudi kasome historia yako vizuri..
Ila nikukumbushe tu kwnye CAFCL simba ndo senior wa Yanga kila mwaka yupo na anatinga Robo
Kusponsor Shindano haimaanishi una umiliki nalo mzee..Unazungumzia caf cup kombe la abiola ???
Ni kimataifa, na ndipo Yanga yetu inashikilia mkia kwa kundi D.
Ukija kitaifa (NBC league) Yanga wanaongoza huku 😂
Umepigaje hapo 😹Yanga ndio timu pekee ambayo ina kazi ya kufurahisha mashabiki wake na mashabiki wa 5imba
Caf cup ni tofauti na caf confederation cup .Kusponsor Shindano haimaanishi una umiliki nalo mzee..
Vodacom wamesponsor Ligi yetu kwa muda mrefu ila sio Wamiliki wa Ligi.. (Fun enough kwa sasa Nafasi yao imezibwa na NBC)
Bhasi tuseme hata CAFCL ya Sasa ni ya Patrick Pouyanné maana ndo mmiliki wa Wadhamini wakuu wa CAFCL Na CAFCC ambao ndo Total Energies...
Jifunze kujua Kuna Umiliki na Udhamini wala haitumii Akili kubwa na sio Gharama
Hii timu ipo vizuri sana kwa ligi ya NBC,
Mnatamani ufike paleee ila bado ipo mkiani😂😂YANGA ingepangwa kundi hilo lenu bovu,muda huu ingekuwa paleeeee
Umeona nilichoandika na ulichoandika wewe..Caf cup ni tofauti na caf confederation cup .
Caf confederation cup ni la pili kwa ukubwa baada ya caf champions league .
Caf cup lilikuwa na hadhi ya Tatu kwa ukubwa na sasahivi halipo Tena.
Nimekupa mlingano uangalie kati ya yanga na simba nani alifanikiwa zaidi na nimekupa majibu Kama msaada Kama utashindwa , na ukiamua kubisha endelea .Umeona nilichoandika na ulichoandika wewe..
Tatizo lako unajitengenezea Maswali na kujijibu mwenyewe..
So I think yo playin' yo self like soltaite...!
Yanga hii hii ya Garbondo imalize na point 10? Kocha mwenyewe keshaanza kuweweseka. Mkipata point 6 mshukuru.Mikia mnaumia sana mafanikio ya Yanga.
Yanga anamaliza na zaidi ya pointi 10.
Nimekaa pale👉
Isipokuwa msimu huu, cafcl simba ataburuza mkia.Yeah imefika Fainali Mara moja..
Rudi kasome historia yako vizuri..
Ila nikukumbushe tu kwnye CAFCL simba ndo senior wa Yanga kila mwaka yupo na anatinga Robo
Wilson Oruma,? Please! Of all people unaamua ku mquote Oruma?Hii timu ipo vizuri sana kwa ligi ya NBC, wana makelele na tambo nyingi sana kitaifa, ila wakiingia kimataifa wanakuwa mdebwedo.