Uwezo wa Yanga CAFCL ni mdogo sana inabidi wajipange vyema

Uwezo wa Yanga CAFCL ni mdogo sana inabidi wajipange vyema

Na wanaimba midomoni mwao kuwa ni kocha mwenye profile kubwa, profile yenyewe ni ipi ni kuchukua kombe hilo hilo wanaolibeza. Ukisikia usemi wa sizitaki mbichi hizi ndio hawa makolofive vijana wa Rage.
Nashukuru kwa kumnyoosha huyo kolo
 
Hii timu ipo vizuri sana kwa ligi ya NBC, wana makelele na tambo nyingi sana kitaifa, ila wakiingia kimataifa wanakuwa mdebwedo.

Kuna mahala YANGA wamekushiika pabaya. 5G? Sio kwa hasira hizo.

Umesemaaaaa? Wana makelele sana?. Mpira unachezwa uwanjani ama kwenye makelele na tambo?. Nilikuuliza simba wako vizuri kimataifa? (Ukianza Simba mlifika mara ngapi robo,basi YANGA imefika fainal kabisa mwaka jana tu hapo,usijizime data). Kwa hizo point mbili zenu ndio uone mnajua?. Kwa wanaojua mpira kiuhalisia YANGA ingepangwa kundi hilo lenu bovu,muda huu ingekuwa paleeeee

Halafu nawaona naona mnarudi mdogo mdogo kama kawaida mnarudi kwenye midomo midomo yenu. Ngoja turudi kutoka huko. Tuwakute hapo,mufukuze kocha na wachezaji
 
hii simba inayoongelewa na wachambuzi uchwara kuwa inauzoefu kimataifa imeshachukua kombe lolote la caf au kufika fainali yoyote ya kombe kubwa la caf ?

Hasa hawa wachambuzi wanachofanya ni kuzidi kuiua ibweteke na sifa za bure tu.
 
Yeah imefika Fainali Mara moja..
Rudi kasome historia yako vizuri..

Ila nikukumbushe tu kwnye CAFCL simba ndo senior wa Yanga kila mwaka yupo na anatinga Robo
 
Unazungumzia caf cup kombe la abiola ???
Kusponsor Shindano haimaanishi una umiliki nalo mzee..
Vodacom wamesponsor Ligi yetu kwa muda mrefu ila sio Wamiliki wa Ligi.. (Fun enough kwa sasa Nafasi yao imezibwa na NBC)

Bhasi tuseme hata CAFCL ya Sasa ni ya Patrick Pouyanné maana ndo mmiliki wa Wadhamini wakuu wa CAFCL Na CAFCC ambao ndo Total Energies...
Jifunze kujua Kuna Umiliki na Udhamini wala haitumii Akili kubwa na sio Gharama
 
Caf cup ni tofauti na caf confederation cup .

Caf confederation cup ni la pili kwa ukubwa baada ya caf champions league .

Caf cup lilikuwa na hadhi ya Tatu kwa ukubwa na sasahivi halipo Tena.
 
Hii timu ipo vizuri sana kwa ligi ya NBC,
20230826_162219.jpg
 
Caf cup ni tofauti na caf confederation cup .

Caf confederation cup ni la pili kwa ukubwa baada ya caf champions league .

Caf cup lilikuwa na hadhi ya Tatu kwa ukubwa na sasahivi halipo Tena.
Umeona nilichoandika na ulichoandika wewe..
Tatizo lako unajitengenezea Maswali na kujijibu mwenyewe..
So I think yo playin' yo self like soltaite...!
 
Umeona nilichoandika na ulichoandika wewe..
Tatizo lako unajitengenezea Maswali na kujijibu mwenyewe..
So I think yo playin' yo self like soltaite...!
Nimekupa mlingano uangalie kati ya yanga na simba nani alifanikiwa zaidi na nimekupa majibu Kama msaada Kama utashindwa , na ukiamua kubisha endelea .
 
wahenga hawakukosea walivyosema historia inajirudia,,,,,,, jamaa mara ya mwisho walimaliza wa mwisho kwenye kundi naona itajirudia!!!!!
 
Medeama anawapiga nje ndani hamtaamini. Tulisema huku hakuna timu hanga kama mlizokuwa mnabahatisha kule CAFCC.
 
Back
Top Bottom