Uwezo wa Yanga CAFCL ni mdogo sana inabidi wajipange vyema

Tokea msimu huu uanze, Yanga kashinda mechi nne, kafungwa mechi moja na katoa sare mechi moja.
Mmefika robo fainali wazee wa kiki 😂😂
 

Attachments

  • 1701782530813.jpg
    319.2 KB · Views: 1
Tokea msimu huu uanze, Yanga kashinda mechi nne, kafungwa mechi moja na katoa sare mechi hatu

Ulishaona lini Yanga wanajipiga kifua wakisema wameleta kocha mwenye profile kubwa? Midomoni mwenu mnajifanya mashindano ya loser kumbe mafanikio yake mnayatamani. Mkabeba kocha wa loser cup.
Wapi huwa mnajisifia sana hata hat huyo kocha wenu alivyokuja mkamsifia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…