ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Kombe la mbege labda timu ina anzia robo inaishia robo, labda CAF tuwaombe watoe makombe ya robo fainaliKombe laja Msimbazi bwashee We Subiría utaliona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kombe la mbege labda timu ina anzia robo inaishia robo, labda CAF tuwaombe watoe makombe ya robo fainaliKombe laja Msimbazi bwashee We Subiría utaliona
Tokea msimu huu uanze, Yanga kashinda mechi nne, kafungwa mechi moja na katoa sare mechi moja.
Huyo kocha wa kombe la loser atawapeleka wapi huku kwa wanaume?Ni kimataifa, na ndipo Yanga yetu inashikilia mkia kwa kundi D.
Ukija kitaifa (NBC league) Yanga wanaongoza huku [emoji23]
Final kisha kutwa kombe.Huyo kocha wa kombe la loser atawapeleka wapi huku kwa wanaume?
Mmefika robo fainali wazee wa kiki 😂😂Tokea msimu huu uanze, Yanga kashinda mechi nne, kafungwa mechi moja na katoa sare mechi moja.
Hatushindanii mbege bwashee 😂Kombe la mbege
Vipi kuhusu wydad,Simba atashinda,?Medeama anawapiga nje ndani hamtaamini. Tulisema huku hakuna timu hanga kama mlizokuwa mnabahatisha kule CAFCC.
subiri game inayofuata af uje kutoa maoni yako kuhusu YangaMi ni Simba ila Yanga wakikaza bado wana nafasi kuvuka makundi
Ndio umejibu nini? Au kuishiwa hoja? Yaani unajibu kitu kisichohusiana kabisa.Mmefika robo fainali wazee wa kiki 😂😂
Tokea msimu huu uanze, Yanga kashinda mechi nne, kafungwa mechi moja na katoa sare mechi hatu
Wapi huwa mnajisifia sana hata hat huyo kocha wenu alivyokuja mkamsifia sanaUlishaona lini Yanga wanajipiga kifua wakisema wameleta kocha mwenye profile kubwa? Midomoni mwenu mnajifanya mashindano ya loser kumbe mafanikio yake mnayatamani. Mkabeba kocha wa loser cup.
Huyu sio mchambuzi bali ni kolo tu huyo.WACHAMBUZI MAANDAZI