Uwezo wa Yanga CAFCL ni mdogo sana inabidi wajipange vyema

Uwezo wa Yanga CAFCL ni mdogo sana inabidi wajipange vyema

Na wanaimba midomoni mwao kuwa ni kocha mwenye profile kubwa, profile yenyewe ni ipi ni kuchukua kombe hilo hilo wanaolibeza. Ukisikia usemi wa sizitaki mbichi hizi ndio hawa makolofive vijana wa

Kocha wa hilo kombe la looser mkamwona anawafaa huko msimbazi....ndondocha fc mna ghubu sana.
Au sio kocha wako wew amechukua copa america🤪
 
Na katika hili, wanastahili pongezi. Maana Yanga amecheza mechi 2, ana pointi 1 na wadogo zake simba wamecheza mechi 2, wana pointi 2!

Cha kushangaza mashabiki wengi wa simba wanaiona Yanga kama vibonde wa kundi! Na wakati zimebakia mechi 4! Na mbaya zaidi tofauti kati ya simba na Yanga ni pointi 1 tu!! Kimsingi wote hali yao siyo nzuri mpaka sasa.

Imagine mechi ijayo simba inakutana ugenini na Bingwa mtetezi Wydad, iliyopoteza mechi 2 mfululizo!! Kwa akili zao za kimbumbumbu wanafikiri huo mchezo utakuwa ni mwepesi tu kwao.

Time will tell. Na zile kelele zao za kumkataa Mangungu zitaanza muda si mrefu.
Wydad ni bingwa mtetezi wa kombe gani? Ukute ww ndio mbumbumbu og.
 
Sasa kama unajua kuwa CAFCC ni kimataifa kwanini umesema Yanga haikuwahi kushinda kimataifa wakati kwenye CAFCC Yanga walikuwa mshindi wa pili?
Usimalize energy kwa huyu mtu. Ukisoma hiyo comment yake, hata hajui tofauti ya CAFCL na CAFCC.
 
Back
Top Bottom