hitler2006
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 489
- 454
Nimekuwa namsikiliza huyu jamaa kwa muda sasa lakini nimepata wasiwasi na uwezo wake wa kuchambua mambona pia elimu yake
Nimekuwa namsikiliza huyu jamaa kwa muda sasa lakini nimepata wasiwasi na uwezo wake wa kuchambua mambona pia elimu yake
Weka picha hebu.
Naunga mkono hoja.......ni gamba sana,anaweza akakandia wapinzani mpaka ukajiuliza ametumwa au nini?!!!!Jamaa ni CCM sana