Uwezo wa Zembwela

Uwezo wa Zembwela

hitler2006

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2014
Posts
489
Reaction score
454
Nimekuwa namsikiliza huyu jamaa kwa muda sasa lakini nimepata wasiwasi na uwezo wake wa kuchambua mambo na pia elimu yake.

zembwela.jpg

 
Kwenye Elimu usifikehuko ushauri
 
Angebaki na kipindi chake cha uswazi tu maana akimudu sana.
 
at least nimetoa dukuduku langu!make anaimpact kubwa kwenye jamii anayoongea lazima yawe na mashiko,si hami sitesheni.
 
Halafu hawezi kutamka vizuri maneno, sijui mate huwa yanamjaa mdomoni!
 
Jamaa ana kipaji cha kuongea licha ya elimu yake ndogo, ila pia ni bange mtu...kwake ni bora akose msosi lakini sio jani!
 
kitabu kisipoeleweka muandishi huenda akawa na mapungufu especially CONTENT&style ya kudeliver message
 
Back
Top Bottom