ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,716
- 2,388
najua kweli kwa zembwela skuli izi noti richabo, najua jamaa ni mtu wa kijiti ila kiukweli USWAZI yake naikubali sana kuliko huu uji uliopost hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tena ukajiuliza ametumwa na nani??/Naunga mkono hoja.......ni gamba sana,anaweza akakandia wapinzani mpaka ukajiuliza ametumwa au nini?!!!!
Bado uzi hauelewekiNimekuwa namsikiliza huyu jamaa kwa muda sasa lakini nimepata wasiwasi na uwezo wake wa kuchambua mambo na pia elimu yake.
![]()
Namkubali tatizo ni Gamba la kufamtu
hujui ukisemacho...viongozi wangapi wa ccm anawapondaga live, barabara ngapi huaga anasema zilivyoborongwa na utawala wa chama tawala, huduma mbovu za kijamii anazokandia na kueleza ubovu wake na mambo mengne mengi mabaya yanayofanywa na serikali....ungesema hayupo Biased ngekuelewa je mtu ambaye yupo ccm anaweza kusema jamaa anayosema?..kama hujui kitu funga KAPU lako nyamaza, KENGE wewe
Mkuu umemaliza kila kitu. safi sana.Ushauri wa Bure
Ukimuona kijana anajituma na kupata umaarufu kwa kazi yake basi jua mfukoni yupo vizuri.
Muhim maisha mazuri na yenye kueleweka.
Wenye elim kubwa ndio sie kila siku tunapishana posta kama sisimizi na miondoko ya nataka ajira style.Na kazi za kubangaiza.
Mfano mmoja ni wa Masanja,ambae anamiliki mjengo ambapo wanaoponda wote humu hakuna wenye ndoto nao na elim mnayotaka nyie hana.Ila anaelim ya kujitambua anakipaji kipi na atakitumia vipi kupata pesa.
Matangazo anayolipwa Zembwela mtambue sio pesa ya kitoto mbali na kazi anazozifanya za ziada.
Juzi tu nilikuwa namsikiliza Milard Ayo akihojiwa kwenye kipindi cha AVENUE TBC ambacho kinafunza mengi sana kwa vijana na kutupa moyo na kufanya mtu usijione peke,yako fursa zipo(Hongereni sana waandaaji),Milary Ayo alikiri kwamba yeye Darasani alikuwa jiwe kabisaa,na alifeli form four.Lakini leo hii ameajiri zaidi ya wafanyakazi 15 anawalipa mshahara wa Serikali.Na anafungua Studio yake soon.Na hataki ujana wa kuuza sura,maana gari anayotembelea Milard Ayo ni very simple na anayo kwa miaka inakaribia sita sasa.Sasa yeye alijitambua kipaji na leo anaajiri wanaomzidi Elim.
Sasa yeye alijitambua kipaji chake kipo wapi na akitumie vipi.Na alinivutia sana nakunipa moyo sana kwa maisha magum aliyopitia.Na pale aliposema kwamba alikuja hadi Zanzibar ZBC kufanya kazi bure bila malipo ili ndoto yake itimie.Blessed my Brother Milard.
Sasa muhim kwanza kijana utambue kipaji chako,licha ya kwamba elim ni muhim,ila sio kwamba ukiwa na elim ndio kufanikiwa kimaisha ila ukijitambua uwezo wako ndio kufanikiwa kimaisha.
Usijadili mtu kwa kuangalia tu uwezo wako wa fikra hasi,waliofanikiwa wengi ni waliogundu vipaji vyao na sio Elim,ila wameitumia elim yao kuwa stable.Tatizo la vijana wengi ni jinsi ya kuweza kutambua na kujua kipaji chako kipo wapi,hapo ndio issue,hatimae tunaigana tu.
Masanja na Joti leo wapo level nyingine kabisaa kimaisha,sie tunacheka wao wanaingiza hesabu.
Kuna siku masanja alisema kwamba nimetoka mkoani bush nawakimbiza watu wa mjini na hesabu naingiza.Hatimae yake yametimia.
Ukijua kuijadili elim ya mtu basi jadili na kipaji chake,Zembwela anaendesha vipindi kulingana uwezo wake na kipaji chake katika upande husika.Sasa kama unataka aanze habari ya kuleta Siasa kwenye kipindi chake hapo naona unapotea na unapoteza muda wako.Tambua pia amezaliwa mjini haswaaa,anaijua Dar kuliko mbunge wake,ameishi ustaarabuni hadi ushenzini na ndio maana kile kipindi anakiweza vizuri.
Akikupa wewe kile kipindi uendeshe na degree yako mtaa wa pili hufiki uliishapigwa mawe na watoto wa mtaani,lakini yule mtoto wa mjini mwenzao amekulia na kuishi maeneo mengi kila sehem akienda hana ugeni.
Usituahaibri mood ya sie mashabiki wa Zembwela,mie namzidi Elim ila naheshim sana kazi yake na hata kwa elim yangu kazi yake siwezi kuifanya kwa weledi ule.Na pia naamini kwamba anauhakika wa pesa ya kula bila wasiwasi tofauti na mie nawaza kesho hali itakuwaje.
Mleta mada umesema unawasiwasi na uwezo wake na elim yake,basi mie ninawasiwasi wa Uelewa wako wa kutambua maisha na mifumo yake katika jamii.Kwahiyo unatatizo kubwa zaidi ya alilonalo Zembwela,ambae kwa mizani ni kwamba amekuzidi katika kujitambua.Sasa kama ni mngonjwa,wewe upo ICU yeye yupo anakunywa Panadol tu ya kupoza maumivu ya kichwa aendelee na kazi.
PALE VUMBI TU,UKIFUATA NYAYO ZEMBWELA ANATEMBEA NA FAGIO.
Ushauri wa Bure

Nimekuwa namsikiliza huyu jamaa kwa muda sasa lakini nimepata wasiwasi na uwezo wake wa kuchambua mambo na pia elimu yake.
![]()