Uwiano wa kujibu(replies) nyuzi na soma (views) jukwaani ya shangaza!

Uwiano wa kujibu(replies) nyuzi na soma (views) jukwaani ya shangaza!

TUJITEGEMEE

Platinum Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
27,646
Reaction score
28,747
Uwiano wa kujibu nyuzi na kuzitama/soma jukwaani, hasa jukwaa hili la siasas unashangaza!
Kwa haraka haraka sana uwiano ni kama ifuatavyo kwa uchache:

1. Nyuzi za Leo-74/994; 2/10; 29/698; 10/134; 16/282;,na 24/307

2. Nyuzi za jana kurudi nyuma- 61/2000; 164/3000; 15/214; 15/219; 4/126; 21/483; 19/308, na 262/1000

Tafsiri ya uwiano huu ni ipi ? Je. Watu hawana hoja ama watu wanakihoro cha kutoa hoja ama watu wanapuuza nyuzi zinazoletwa mezani?

Tujadili.
 
Wasomaji wengi wapo Tanzania, na hawana uwezo wa kuipata JamiiForums.

Hii inatokana na TCRA kutoa kifungo cha siku 90 JamiiForums isionekane kwa wasomaji wa nchini Tanzania.
 
Hali inazidi kuwa mbaya. Watu hawataki kutoa maoni Tena hadharani. Ni hatari sana hii. Kwa sababu watu watafanya vitendo vya kushtua kwa sababu wameacha kutoa maoni Yao hadharani!
 
Back
Top Bottom