Uwiano wa umri wangu na uzito ni tofauti sana mpaka naogopa

Uwiano wa umri wangu na uzito ni tofauti sana mpaka naogopa

mimi nina miaka26; na nina kilo 65 na uzito wangu ni kilo
 
asanten sana wadau kwa majibu yenu mmenivumbua
 
duh! sasa nifanye nini kuongeza weight?

Kula vyakula vya wanga zaidi kama mkate, chapati, ugali wa dona etc. Pata muda wa kutosha wa kulala na mchana pia lala japo lisaa limoja au mawili, usikae muda mrefu bila kula kitu. Usiende Gym
 
Ni hivi nina umri wa miaka 23 lakini uzito wangu ni kilogram 86 uwiano wake ni mkubwa kupita na naogopa usije kuniletea madhara

Na nilikuwa nakuombeni mnitajie vyakula vya kuacha ili nipungue mwili mana mazoezi nashindwa kwa sababu nipo bize sana

Msaada wenu jamani unatakiwa

Hkuna uhusiano wa umri na uzito ila kuna uhusiano wa urefu na uzito
 
Kula vyakula vya wanga zaidi kama mkate, chapati, ugali wa dona etc. Pata muda wa kutosha wa kulala na mchana pia lala japo lisaa limoja au mawili, usikae muda mrefu bila kula kitu. Usiende Gym
asante
kama kulala tu nalala vyakutosha, ila hapo kwenye vyakula vya wanga ndo ishu, ila nitajitahidi kula! asante sana
 
Back
Top Bottom