Uwiiii jamani nahisi ban inanukia

Uwiiii jamani nahisi ban inanukia

amu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
16,132
Reaction score
31,149
Nimekuja kuwasalimia kabla hawajanifunga maana leo kuna lijitu limenichokonoa.....
 
Nimekuja kuwasalimia kabla hawajanifunga maana leo kuna lijitu limenichokonoa.....

limekuchokonoa sehemu gani ya maungo ya mwili wako....??
karibu JF mgeni in advance....
 
Hahaha, unajitabiria kifo na kumpa offender wako ushindi? Dawa ya anaekuudhi ni kumcheka. Anakasirika yeye na wewe unapeta tuuuu.
 
Back
Top Bottom