amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,132 Reaction score 31,149 Dec 16, 2012 #1 Nimekuja kuwasalimia kabla hawajanifunga maana leo kuna lijitu limenichokonoa.....
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Dec 17, 2012 #2 amu said: Nimekuja kuwasalimia kabla hawajanifunga maana leo kuna lijitu limenichokonoa..... Click to expand... limekuchokonoa sehemu gani ya maungo ya mwili wako....?? karibu JF mgeni in advance....
amu said: Nimekuja kuwasalimia kabla hawajanifunga maana leo kuna lijitu limenichokonoa..... Click to expand... limekuchokonoa sehemu gani ya maungo ya mwili wako....?? karibu JF mgeni in advance....
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Dec 17, 2012 #3 Hahaha, unajitabiria kifo na kumpa offender wako ushindi? Dawa ya anaekuudhi ni kumcheka. Anakasirika yeye na wewe unapeta tuuuu.
Hahaha, unajitabiria kifo na kumpa offender wako ushindi? Dawa ya anaekuudhi ni kumcheka. Anakasirika yeye na wewe unapeta tuuuu.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Dec 17, 2012 #4 Karibu sana JF.
S Sangomwile JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 3,211 Reaction score 1,059 Dec 18, 2012 #6 Nawewe kamchokonoe,karibu.