Raby Kilua
Senior Member
- Jul 12, 2013
- 128
- 23
Jaman ndugu zangu.
Baada ya leo kupata habar za tcu kutoa majna ya watu waliokosea nimechek tcu profile yangu iko empty!!
yaan namaanisha empty kwenye selection program zangu..
kuna walioniamia nianze upya application ila nijaze chuo kimoja na fucult moja tuu..
Ila wengi wa tuliopata tatizo hili ni tulioomba coz za Sayans but out of education.. nifanyaje wakuu hapa nimeloa jasho wazaz nao Nimewastua sana kwa hii habar mpaka najuta kuwaeleza..
anayeelewa anipe maelekezo yakuondoa hili tatizo..
In short Sina Imani tena kama nitaenda chuo!!!!!
ulipataje?...je cut off zao ktk course husika zilifika?
Mazee kiufupi ni kwamba hata
kama points zako zinafit na kila kozi umewekewa Yes jina lako laweza
kuwemo kwenye list.Mfano,rafiki yangu yuko jkt,nimefungua selection
status yake wamesema Sorry you have not applied wakati mwanzoni alikuwa
eligible kwa kozi zote.Hivyo basi nawashauri ndugu zangu mtembelee
profiles zenu mfungue kwenye View my selection status.
a happy man marries a woman he loves... but the happiest man is the one who loves the woman he marries
nimeview selection status NOT YET PROCESSED, kama not yet processed wametoaje majina!? Au profile yangu imesahauliwa?
kama hvyo umepata! So tuliaa kama ulivyoo! Subir uonyeshwe umepangiwa wap kat ya zile tano ulizochagua! Mkuu tupo pamoja!
Thanks bro kwa kunijulisha ilo, wape hi ndabo!