Jumbe: (Majumbe) noun Chief, village elder, Headman.
Ujumbe: Ujumbe noun message, petition, Meaning, Task, Delegation, Deputation, Mission,
Zamani babu zetu, walikuwa wakitaka kutuma taarifa, waliwatumia hawa watu walio waita Wajumbe (Mpeleka taarifa au habari) Vilevile neno Jumbe kama hapo juu ni kiongozi wa eneo kama vile mtaa. Vile vile linatumika kama wawakilishi kama wabunge ni wajumbe wetu kwa serikali, yaani ndio wenye kutupelekea malalamiko na mahitaji yetu.
Sasa kile wanacho kiwakilisha au kukipeleka ndio Ujumbe... Huwe mwingi au mchache, maana neno Ujumbe hauna wingi, si kama Kiingereza.
Mf:
1. ujumbe ulioletwa na barua hii ni...
2. ule ujumbe uliyonituma Morogoro haukufaulu
3. ule ujumbe ulioutuma Morogoro haukufaulu