Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jumbe: (Majumbe) noun Chief, village elder, Headman.
Ujumbe: Ujumbe noun message, petition, Meaning, Task, Delegation, Deputation, Mission,
Zamani babu zetu, walikuwa wakitaka kutuma taarifa, waliwatumia hawa watu walio waita Wajumbe (Mpeleka taarifa au habari) Vilevile neno Jumbe kama hapo juu ni kiongozi wa eneo kama vile mtaa. Vile vile linatumika kama wawakilishi kama wabunge ni wajumbe wetu kwa serikali, yaani ndio wenye kutupelekea malalamiko na mahitaji yetu.
Sasa kile wanacho kiwakilisha au kukipeleka ndio Ujumbe... Huwe mwingi au mchache, maana neno Ujumbe hauna wingi, si kama Kiingereza.
Mf:
1. ujumbe ulioletwa na barua hii ni...
2. ule ujumbe uliyonituma Morogoro haukufaulu
3. ule ujumbe ulioutuma Morogoro haukufaulu
Ah ah ah ah ah ah..... Mentor, yaani nakudai togwa langu, maana umesababisha nimecheka mpaka nimepaliwa na kutema kile nilichokwisha anza kukitia mdomoni.Yani X-Paster akishajibu mimi nakasirika..unajibu kila kitu!!!