UWINGI WA WACHEZAJI WA KIGENI TUNAUA WACHEZAJI WA NDANI

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,707
Hongera Waziri Mwakyembe kwa kuliona hilo.Ushahidi wa hilo wote tumeliona ,wachezaji wa kigeni ndio wanang'ara kwenye Ligi yetu.Ligi ya Tanzania imekuwa ni chombo cha kufanyia mazoezi kwa Wachezaji wa kigeni kwani vilabu vyetu vinaajiri Makocha wa kigeni,wanatoa mafunzo mazuri ,vilabu vinawachezesha wachezaji wengi wa kigeni,Timu zao za Taifa zinapokuwa zina mashindano hao wa vilabu vyetu ndio wanachaguliwa,sie huku wachezaji wetu hawakuwa na nafasi ktk vilabu vyetu.Kwa hiyo wageni wanazinufaisha Timu zao za Taifa.Hongera Waziri Wachezaji wa kigeni wapunguzwe.
 
Uliwah kuwaza na upande wa pili kwa hili unalofurahia?
 
Kwani wanakataazwa kujituma uwanjani hao wa ndani.?
Msituharibie mpira wetu huyo Mwakyembe wako anajua tunachowekeza kwenye timu zaidi ya Kuhudhuria makongamano ya sherehe tu ?
 
Back
Top Bottom