Kuna mama alikua katoka kupakua chakula ili ale..ghafla akasikia mtu anabisha hodi
basi harakaharaka akaficha chakula chini ya kochi akaenda kufungua mlango..
mama:"Karibu shoga yangu"..
mgeni alipokaa akaanza kuona moshi unatoka chini ya kochi...akabidi aulize
mgeni:"Shoga kulikoni mbona chini ya kochi kunatoka moshi?".
mama:"Mwenzangu we acha tu hii mipanya ya humu ndani kwa kuvuta bangi utaiweza
mgeni kazimia kwa mshangao.........
copy and pasted.