wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 168
kwa maelezo yasiyo kweli eti nchi inayoandaa mashindano ya cecafa inagharamikiwa na chama hicho si kweli kama ni kweli pelekeni zanzibar kagame cup kama mnazo hizo hela.
na kama mnazo mbona hatuoni mkiandaa mashindano ya vijana?
na kama mnazo mbona hatuoni mkiandaa mashindano ya vijana?