Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Kama wewe hujui umejuaje kama mimi ni muongo?? na wewe nitajie kijiji gani ambacho hakija pata.... lolacha kusema uwongo.wametoa kijiji gani tutajie hapa
huna facts pro CCM lala mbele.mwenyekiti wako mwenyewe alitangaza kuwa hakuna milioni 50 kwa kila kijiji kwa sasa .wewe unatuambiaje zimetolewa?Kama wewe hujui umejuaje kama mimi ni muongo?? na wewe nitajie kijiji gani ambacho hakija pata.... lol
Punguza jazba kaka mkubwa tupo kwenye jukwaa la 'jokes/utani' so calm down....huna facts pro CCM lala mbele.mwenyekiti wako mwenyewe alitangaza kuwa hakuna milioni 50 kwa kila kijiji kwa sasa .wewe unatuambiaje zimetolewa?
Nakupa tuzo ya uwongo 2017.Wanatoa mbona.... sema zinapigwa juu kwa juu.
Hahahahahaha na mimi nimejitutumua kutoa kauongo kangu hehehehe.Nakupa tuzo ya uwongo 2017.
Hahahaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Polepole kuwa uvccm wakat yuko jumuiya ya wazee
Mkuu labda mlezi banaPolepole kuwa uvccm wakat yuko jumuiya ya wazee
Huyu mtu wenzie ni akina Warioba. Anapoka madaraka ya vijana. Hima hima vijana shime tukatae huu urasimuMkuu labda mlezi bana
Duh nyinyi watu nyinyi