Uwongo wa mwaka 2017,njoo tukutane sema uwongo uliovunja rekodi 2017

Uwongo wa mwaka 2017,njoo tukutane sema uwongo uliovunja rekodi 2017

Nauli kutoka mwanza kwenda Dar ilifikia laki nane one way.
 
1.Bombardier haijakamatwa ila kuna masuala yanakamilishwa
2.uchumi umekuwa kwa 7.5%
3.Wanaosema hali ngumu wote ni wapiga deal
4.Ccm imeshinda ushindi wa kishindo
5.wafanyakazi wote walipwe malimbikizo yao!
 
Kama wewe hujui umejuaje kama mimi ni muongo?? na wewe nitajie kijiji gani ambacho hakija pata.... lol
huna facts pro CCM lala mbele.mwenyekiti wako mwenyewe alitangaza kuwa hakuna milioni 50 kwa kila kijiji kwa sasa .wewe unatuambiaje zimetolewa?
 
Nilienda kwao na binti nikajitambulisha nikachinjiwa kuku nikala tukaelewana mahali. Nimetokomea mpka leo
 
Anko Mag kusema ACACIA ni wanaume kuliko sisi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom