Uwongo zambi, kusema la ukweli hii kitu mimi naipendaga sana.

Hamna kitafunwa nakipenda kama kitumbua. Uwiii Vitumbua ni vitamu tena kwa chai.
 
Hata mimi napenda mno, hasa unapotumia bila kimiminika chochote.
 
Oyooooo wapika vitumbua wengi wanaoshaga papuchi
Na maji hayohayo wanakandia unga wa vitumbua
 
Oyooooo wapika vitumbua wengi wanaoshaga papuchi
Na maji hayohayo wanakandia unga wa vitumbua
Mkuu
1. Vitumbua havikandwi
2. Mimi ninapika vitumbua lakini sifanyi hayo unayosema yanafanyika.
 
Mbula mkuu huyo upate na maharage yalopashwa kidogo alafu pembeni kuna chai ya ziwa lilokulea!! Mbulaa!!!wacha kabisa asee
 
Chaa nani amekuambia vya uswahilini!!! Yaani pale kitaani kuna mmama anapikaga balaa!!
 
Siyo wewe tu ata mie napendaga tu[emoji12]
 
Mie na wadogo zangu tulikuwa tunaviita "vitufti" enzi hizo tunaenda kwa mm vitumbua na mayai na sukari yetu ili atuongezee kwenye ule unga aiseee nilikuwa nakula zaidi hata ya kumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…