Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Mwanaume kamili upo mapumzikoni unapata wapi muda wa kuveshwa nguo za kike na mawingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakuwa joti anafanya hivyo kwahyo ni halali?Ila mbona joti na mpoki wanavaa nguo za kike na kuji make up??
Acha kuota mchana !! Tokalini msagaji akatamani mwanaume mgumu ?? Ila atatamani uwe kama kidemu kidemu.Ila naona Irene kalipiza Kwa dogo sialimwimba anapewa Tigo hivyo kamla tigoPumbaf kabisa, huyu dogo hamuwezi huyo demu wake, huyo Uwoya anataka mwanaume mbishi kama mimi
Mkeo kukwambia uvae kike ili iwe nini, then yeye anava kiume ili awe nani.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dogo janja ambaye sasa hivi ameachia video ya wimbo wake mpya wa 'Wayu wayu' na kuacha gumzo kwa mashabiki kwa kuvaa uhusika wa mwanamke, na kusema kuwa mke wake ndiye alimfanya awe hivyo.
Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Dogo Janja amesema mke wake ambaye ni muigizaji wa filamu za bongo, Irene Uwoya, ndiye alianza kumfanyia make up wakiwa mapumzikoni Zanzibar, na kumvalisha vitu vya kike, ndipo walipopata idea ya kufanya video akiwa kama mwanamke.
“Mke wangu kabla sijaanza kushoot alianza kunifanyia make up na kunivesha vesha tulipokuwa vacation (mapumzikoni) Zanzibar, akawa ananicheka, mpaka siku tunaenda kushoot ile make up ilibidi anifanyie yeye lakini ilitokea dharula hakuwepo, akaniambia niende kwa mtu anifanyie make up ya nude mimi hata siijui, hata lile wigi alinipa mke wangu na mimi nikapita nalo”, amesema Dogo Janja.
Kitendo cha Dogo Janja kuigiza kama mwanamke kimeonekana kuwakwaza watu wengi wakisema sio kitu kizuri mwanaume kuvaa hivyo na kujipodoa kama mwanamke, lakini kwa upande wake amesema ilikuwa ni ubunifu kwa lengo la kuboresha kazi.
Muungwana
[emoji87] [emoji87] [emoji87] aibu hii aiseeView attachment 712836huyu kima sasa hivi watamtoboa parachichi mjini hapa.....
Kaolewa hajaoa paleDogo Janja toka ameoa yaan ndio ana kuwa na mambo ya ajabu ajabu zaid.
Sjajua nani alo mroga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kaolewa hajaoa pale
Sasa je vyuma vimekaza akaona awe video Queen. [emoji1] [emoji23]Inamaana walikosa video Queen au
Washamba hao... [emoji1] [emoji23]Mbona kawaida